Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini
kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMATANO tarehe 12/11/2014 na ALHAMISI 13/11/2014
tarehe kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni. Sababu ni Matengenezo, kukata miti, na
kubadilsha Nguzo zilizooza.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Tarehe 11/11/2014
Mikocheni business area,Ushindi primary school,BIMA flats,Five star,
Mikocheni 'B' Assemblies of God,Barabara ya Cocacola , Msasani beach, Kawe
beach, Kawe Maringo, Clouds entertainment ,K-Net tower. Mwananyamala 'A' & 'B', Mwananyamala hospital, Mwananyamala
Kisiwani, Ujiji, Kwa Kopa, Kwa Mama Zakaria,Makumbusho Sokoni, Mwananyamala kwa
Kidile, Mchangani, Meridian,Vijana, Masai pub, Maeneo ya Sheikh Yahaya, Shule
ya msingi Ukombozi, Garden Police post.
Tarehe 12/11/2014
Toure drive,baadhi ya Maeneo
barabara ya Chole ,Mtaa wa Katoke ,Mawenzi,Golden Tulip, Cocobeach, Shule ya
Kimataifa ya Tanganyika, Mtaa wa Mahenge,
Barabara Ghuba ,baadhi ya naeneo barabara Msasani ,Oysterbay hotel, Ubalozi wa
Falme za Kiarabu ,Mtaa Mwaya ,Mlale, Mzinga
way Sea Cliff hotel, TPDF Masaki mwisho,Kota za Serikali Masaki, Coral beach, Coral lane, Yatch club, Slip
way, Trauma hospital, Mtaa wa Mahando, Kinondoni 'A
& B', Baadhi ya Maeneo Kinondoni block 41, Biafra, Kanazi ,Togo, Wibu
streets,Open University of Tanzania,Ufipa,Kinondoni Moscow,and Livingstone
streets,Hananasifu,Mkwajuni,Kinondoni studio,Manyanya, Kambangwa secondary.
Tunisia, Barabara ya Kinondoni, Msese, Tazara club ,Kaunda,
Barabara ya Kenyatta, Mtaa wa Laiboni, Stanbic bank/Ocean front, Kinondoni
shamba, Ada estate, Mtaa wa Karume Karume na Tumbawe, Barabara ya Hill ,Kajificheni close,
St.Peters,Don Bosco,Kinondoni block 41,Indonesian embassy;Uwanja wa
Farasi, Josho la mbwa,baadhi ya Maeneo
ya barabara ya Msasani, Ubalozi wa
Nigeria na Century hotel.
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au
kuanguka.
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa
na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO –
MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment