Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawtaarifu wateja wake Wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa
na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: Alhamisi 13/11/ 2014
MUDA: 03:00 Asubuhi – 12:00 jioni
SABABU: Kuondoa
nguzo za msongo wa 11kv amabazo ziko barabarani ili kupisha ujenzi wa barabara zinazounganisha daraja la Kigamboni na
barabra ya Mandela.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Kurasini, Bandari, TICTS na maeneo yote ya Mbagala na maeneo ya jirani, maeneo yote ya
kigamboni ukiondoa Tuangoma.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura
Mkoa wa Temeke:- 022 2138352, 0712 052720,0788 499014,0736 501661 au Kituo cha
miito ya simu 022
2194400 /0768 985 100
Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: OFISI YA
UHUSIANO,
TANESCO
– MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment