Shirika la Umeme Tanzania TANESCO
linasikitika kuwaarifu wateja wake wa mkoa
wa Ilala kuwa kutakuwa na katizo la
umeme kama ifuatavyo:-
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Date
|
Time
|
Reason
|
Affected
area
|
03 Feb,2015
|
3 asub-12 jion
|
Kukata matawi ya miti yaliyo kwenye nyaya za umeme
na kubadilisha nguzo zilizooza (HT)
|
Chuo kikuu cha Kmpala, Mazizini, Moshi bar,
Mkolemba, Kwa diwani, Mzambarauni
|
04 Feb,2015
|
3 asub-12 jion
|
Kukata matawi ya miti
yaliyo kwenye nyaya za umeme na kubadilisha nguzo zilizooza (HT)
|
Ulongon A and B, Mongo la Ndege, Pugu mnadani.
|
05 Feb,2015
|
3 asub-12 Jion
|
Kukata matawi ya miti
yaliyo kwenye nyaya za umeme na kubadilisha nguzo zilizooza (HT)
|
Magereza, Banana, Kitunda, Machimbo, Mwanagati,
Kivule, Kibeberu, Magore.
|
06 Feb,2015
|
3 asub-12 Jion
|
Kukata matawi ya miti
yaliyo kwenye nyaya za umeme na kubadilisha nguzo zilizooza (HT)
|
JWTZ Gongo la mboto, Majohe, Chanika, Pugu and
Kisarawe.
|
Tafadhali usiguse waya wowote
uliokatika,
Tunaomba radhi kwa usumbufu
wowote utakao jitokeza.
Toa taarifa
TANESCO kupitia namba Kitengo
cha dharura ilala: 022 213 3330, 0784 768586 Or Call centre numbers 2194400 or 0768 985 100 Kitengo cha
dharura Tabata 0684 001068, 0715768589
Imetolewa
na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO –
MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment