January 30, 2015

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME – ILALA

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa mkoa wa Ilala  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Date
Time
Reason
Affected area
03 Feb,2015
3 asub-12 jion
Kukata matawi ya miti yaliyo kwenye nyaya za umeme na kubadilisha nguzo zilizooza (HT)
Chuo kikuu cha Kmpala, Mazizini, Moshi bar, Mkolemba, Kwa diwani, Mzambarauni
04 Feb,2015
3 asub-12 jion
Kukata matawi ya miti yaliyo kwenye nyaya za umeme na kubadilisha nguzo zilizooza (HT)
Ulongon A and B, Mongo la Ndege, Pugu mnadani.
05 Feb,2015
3 asub-12 Jion
Kukata matawi ya miti yaliyo kwenye nyaya za umeme na kubadilisha nguzo zilizooza (HT)
Magereza, Banana, Kitunda, Machimbo, Mwanagati, Kivule, Kibeberu, Magore.
06 Feb,2015
3 asub-12 Jion
Kukata matawi ya miti yaliyo kwenye nyaya za umeme na kubadilisha nguzo zilizooza (HT)
JWTZ Gongo la mboto, Majohe, Chanika, Pugu and Kisarawe.
     
Tafadhali usiguse waya wowote uliokatika,

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.
 Toa taarifa TANESCO kupitia namba Kitengo cha dharura ilala: 022 213 3330, 0784 768586 Or Call centre numbers 2194400 or 0768 985 100 Kitengo cha dharura Tabata 0684 001068, 0715768589

Imetolewa na:-           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment