SHIRIKA
LA UMEME TANZANIA
katika kituo cha
kupoozea na kusambaza umeme cha Ubungo na kupelekea jiji lote la Dar es salaam
kukosa umeme majira ya saa tano asubuhi leo tarehe 24/07/2015.
Jitihada za kurekebisha
tatizo hilo zinaendelea na tayari umeme umeshaanza kurejea katika hali yake ya
kawaida na hadi kufikia saa kumi jioni umeme utakuwa umerudi katika maeneo yote
ya jiji la Dar es salaam.
Uongozi unasikitika kwa
usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO
- MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment