SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
KATIZO
LA UMEME MKOA WA ILALA
Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) linawataarifu
wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
SABABU: Kubadilisha nguzo ziliizooza na matengenezo
ya “Substations” kwenye laini ya msongo mkubwa.
MUDA: Saa 3.00
Asubuhi - Saa 11.00 Jioni
TAREHE: 09/02/2016,
Jumanne
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Tabata
relini, Liwiti, Kisiwani, Kimanga, Bima, Hai bar, Ubaya Ubaya, Kisukuru,
Mawenzi,
Makoka,
Bonde la msimbazi, Magengeni, Beto motors, Sadolin, Five star printer, Kiwanda
cha Guru, Kituo cha Polisi Tazara, Delta, Azania,
Pepsi yundai, kiwalani bombom na
maeneo
yanayozunguka.
TAREHE: 11/02/2016,
Alhamisi
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Uwanja
wa ndege Terminal II, JWTZ, BP Air Port, Karakata, Semminary, Sitaki shari,
Majumbasita na baadhi ya Viwanda vilivyoko barabara ya Nyerere, Metro plastic, Fusing
Investment, Kiwalani kwa kalokola, Maeneo ya kwa bingubita, kwa Kapuya, Volvo, Omary
packaging, Castrian, Cast steel na maeneo yanayozunguka.
TAREHE: 13/02/2016, Jumamosi
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Jangwani
Romejas, Matumbi, A & B, Jangwani Sea Breeze, Shule ya Sekondari Azania, Hospital
ya Taifa ya Muhimbili, Upanga Kalenga, Jambo plastic, Becco, OK plastic, HTK, DT
Dobi, Amary bakery, maeneo yote ya Vingunguti, Kiyembembusi, Simba, Kidarajani,
PMM, Omary Packaging na maeneo yanayozunguka.
Tafadhali usishike waya
uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo, Dawati la dharura mkoa wa Ilala
- 022 213 3330, 0784 768586, 0715 76 85
86, kitengo cha dharura Tabata 0684001068, 0715768589 au kituo cha miito ya simu namba 2194400 au 0768 985
100- 0684001068.
Tafadhali usishike
waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo za
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa
na: OFISI
YA UHUSIANO,
TANESCO
– MAKAO MAKUU
No comments:
Post a Comment