Mteja anapaswa kufanya uchunguzi wa mtandao wa nyaya ndani ya nyumba
yake (Wiring) kila baada ya miaka mitano au mapema zaidi pale ambapo
atahisi kunaupotevu wa umeme kwa kutumia wakandarasi waliosajiliwa
Utawapataje: Ukiuliza ofisi yeyote na TANESCO utapatiwa orodha yao na kuchagua unayemtaka au kwenye ofisi zao zilizo maeneo mbalimbali nchini.
Madhara ya kutokufanya uchunguzi: Kulipia umeme ambao haujautumia hivyo kuwa na matumizi makubwa ya umeme
TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO

No comments:
Post a Comment