Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
1.
LAINI YA MIKOCHENI (MK2)
TAREHE: ALHAMISI 25 Agosti, 2016
MUDA: 3:00 Asubuhi hadi 10:00 Jioni
SABABU: Kuzimwa
kwa laini ya MIKOCHENI (MK 2) wa ajili ya kubadili nguzo zilizooza na nyaya
zilizochakaa ili kudhibiti hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara,
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Baadhi
ya maeneo ya Sinza, Sayansi, TTCL Kijitonyama, Rose garden, TPDC, Government
House Mikocheni, Kanisa katoliki la Kijitonyama, TBC television, Johanesbarg,
miti mirefu, pamoja na maeneo ya jirani.
2. LAINI
YA MAKUMBUSHO (MAK4)
TAREHE: ALHAMISI 25
Agosti, 2016.
MUDA: 3:00 Asubuhi hadi 10:00 Jioni
SABABU: Kuzimwa kwa laini ya MAKUMBUSHO (MAK 4), kwa
ajili ya kuhamisha laini ya msongo 11KV ya umeme na kupisha ujenzi wa laini
mpya ya msongo 33KV wa kituo kipya cha
kupooza umeme cha Mwananyamala ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Baadhi ya maeneo ya Mwananyamala na Makumbusho, Dawasa
limited, ABB office, Mwananyamala hospital pamoja na
maeneo ya jirani.
Tafadhali usishike waya
uliokatika, toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo: -
Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kaskazini: 0784 768584, 0716 768584 au
Kituo cha miito ya simu 022 2194400 / 0768 985 100
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu
wowote utakaojitokeza
Imetolewa na : OFISI
YA UHUSIANO,
TANESCO - MAKAO MAKUU
No comments:
Post a Comment