Pages

February 23, 2012

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA KILIMANJARO


Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kilimanjaro kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:   24/02/2012, siku ya Ijumaa pamoja na Jumamosi 25/02/2012
                    
SAA:          2:00 Asubuhi- 10:00 Jioni

SABABU:   MATENGENEZO KATIKA LAINI YA K50 TOKA KIDOGO CHA UMEME KIYUNGI HADI  BOMAMBUZI .

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA: Moshi mjini, maeneo ya viwandani Soweto,  
SIDO,Majengo,Ngangamfumuni,Bomambuzi,Pasua,Kaloleni,Mabogini Kahe,Sango.Old moshi,Mnazi mmoja, Msaranga,  Himo,Kilema, Holili  Marangu, Mwika,Rombo na  Tara kea.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo: 027 2755007, 027 2755008



Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza kutokana na katizo hili.


Imetolewa na:     Ofisi ya Uhusiano
                              Tanesco-Makao Makao

No comments:

Post a Comment