Pages

August 29, 2013

KATIZO LA UMEME


                                             MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme litakalotokana na matengenezo katika kituo cha Mbezi Substation Siku ya Jumamosi  tarehe 31/08/2013 kuanzia saa 03:00 Asubuhi hadi saa 09:00 Mchana.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:
Mbezi juu, Mbezi samaki, Baraza la Mitihani Mbezi, St. Marys school Mbezi, Mbezi garden, Ndumbwi, Mbezi kwa Msomali, Mbezi Makonde, Mbezi Machakani, Mbezi NSSF, Mbezi Masoko ya kariakoo flats, Mbezi Jogoo, Art Garlery, ATN/Agape Television, Maaza juice factory, Polypet Industry, Interchik and Chemi & Cotex Factories.

Mbezi bondeni, Luvent street, Almas street, Mwl Nyerere school, Mbezi Maguruwe, simba rd, Chui rd, Aly Sykes rd, Beach street, BOT Mbezi ,TTCL Mbezi beach, Zena Kawawa rd, Roman Catholic Mbezi beach, Mbezi miti mirefu, uwanja wa walenga shabaha, Jangwani beach, Belinda, Giraffe, Whitesands, and Green Manner hotels, part of Kilongawima, NMC quorters.

Lugalo Military base, Lugalo Hospital, the whole area of Kawe, NBC Kawe,2000 Industries Ltd, Majembe Auction Mart Mwenge, Mbezi Tangi bovu, Mbezi Lyagunga, Mbezi Zawadi, Shoko, Mwenge Survey, Mwenge bus stand and surroundings.

Tafadhali usishike waya uliokatika, na toa taarifa kupitia simu zifuatazo kwa dharula yeyote   022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au Call centre namba 2194400.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:          Ofisi ya Uhusiano,
                                    TANESCO,MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment