Pages

August 29, 2013

KILIMANJARO

KATIZO LA UMEME MKOA WA - KILIMANJARO

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa kutakuwa na katizo la umeme    siku ya JUMAMOSI tarehe 31/08/2013 kuanzia Saa 02:00 Asubuhi hadi Saa 12:00 Jioni.  Sababu ni kuzimwa kwa laini kubwa ya umeme ya 33KV ya Himo - Rombo ili kupisha ukataji wa matawi ya miti iliyosonga kwenye laini hiyo. 
MAENEO YATAKAYO ATHIRIKA:
MAENEO YOTE YA HIMO, KILEMA, MARANGU, KILUA NA WILAYA YA ROMBO.
                                                    
‘‘usiguse wala kusogelea waya uliokatika au kuanguka chini, toa taarifa kwenye ofisi ya TANESCO    kupitia namba 0272755007, 0272755008, na 0272754035
SHIRIKA LINAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAO JITOKEZA
IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment