Pages

August 29, 2013

PWANI

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA PWANI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Pwani kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya IJUMAA tarehe 30/08/2013 kuanzia Saa  3:00 Asubuhi - 11:00 Jioni.  Sababu ni kufanya matengenezo, kubadilisha nguzo zilizooza katika line ya msongo  wa 33KV Lugoba
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:
Baadhi ya eneo la Chalinze, Msoga, Mboga, Lugoba, Mazizi, Msata, Mitambo ya maji Wami, Mandera, Miono, Mbwewe na maeneo yanayozunguka.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo: 0657 108782 au Call centre namba 2194400  au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.                  
                         

No comments:

Post a Comment