Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali col.
Hosea Maloda Ndagala akisoma taarifa fupi ya maendeleo ya Wilaya Waziri
wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof.
Sospeter Muhongo akiongea na wanakijiji (hawapo pichani) wa Wilaya ya Kakonko Mkoani
wa Kigoma juu ya suala zima la mradi wa umeme vijijini(REA wamu ya pili)
Meneja wa Mkoa wa Kigoma Muhandisi
Masingija Lugata akitoamaeleza kwaWaziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof.
Sospeter Muhongo juu ya
umeme vijijini wamu ya pili.
|
Mwanakijiji wa Wilaya ya Kakonko Mbwana Emmanuel Lwiginyiza akieleza kero yake kuhusiana na swala zima la umeme Vijijini awamu ya pili
Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Bw. Luis
Peter Bura akimkaribisha Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter
Muhongo Wilayani Kinondo
Katibu wa Wilaya ya Kibondo Bw. Ayoub Simbambili akisoma taarifa fupi
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo akisalimiana na Afisa wa TANESCO Wilaya ya Kakonko Bw. Thomas Mwinuka baada ya kuwasili Mkoani hapo
Waziri nampongeza kwa kasi yake ya kusambaza umeme vijijini anakwenda vizuri awambie watumishi was shirika LA umeme nchi waongeze bidii ya Nazi
ReplyDeleteWaziri nampongeza kwa kasi yake ya kusambaza umeme vijijini anakwenda vizuri awambie watumishi was shirika LA umeme nchi waongeze bidii ya Nazi
ReplyDelete