Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja
wake wa Mikoa ya Kinondoni Kaskazini na Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama
ifuatavyo:-
MKOA
WA KINONDONI KASKAZINI:
SABABU: Kukata miti chini
ya laini.
TAREHE NA MUDA
|
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
|
Jumatano 02,October,2013 0300 - 1100 Jioni
|
ITV na Radio One, Tan pack tissues, Mwenge
Kijijini, Bamaga, Chuo cha Ustawi wa Jamii, Hongera bar, Tume ya Sayansi,
Polisi Mabatini, maghoroa ya Chuo cha Ustawi wa Jamii, Afrika sana, TRA
Mwenge, Shule ya Msingi Mapambano, Maghorofa ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam,
Mtaa wa Meeda bar, maeneo ya Blue bird, maghorofa ya Jeshi la Wananchi
Tanzania- Mwenge, Hospitali ya Mama Ngoma, Maghorofa ya TBC, Mtaa wa Ikangaa,
Maghorofa ya BOT, maeneo ya Kijitonyama kwa Mwarabu na maeneo yanayozunguka.
|
Alhamisi 03,October ,2013 0300 - 1100 Jioni
|
Mikocheni 'A', Ofisi ya Raisi Makumbusho,
Chuo cha Uandishi wa habari, Mlimani TV, CCM kwa Marwa bar, Msasani Kisiwani,
Shoppers Plaza, Hospitali ya TMJ, Mayfair Plaza, Bonde la Mpunga, Kota za
TANESCO, Zantel, maeneo ya Namanga, Msasani Makangira, Maandazi road, Mtaa wa
Butembo, Regent estate, Hospitali ya Kairuki/Mikocheni, Mitaa ya Ursino na
Chatto na maeneo yanayozunguka.
|
Ijumaa 04
,October,2013 0300 - 1100 Jioni
|
Kunduchi
yote, Kunduchi Pwani, Kunduchi Recruitment Training School (RTS) of TPDF, Mbuyuni,
MECCO, JKT machimbo, Tegeta darajani, Salasala kwa Mboma, Kilimahewa, Salasala
Benaco, RTD Salasala, Salasala Kijijini, Green Acres school, Part of
Kilongawima, Mbezi Africana, T-square bar, Mbezi Majumba sita, Lugalo
Salasala, Kinzudi, Bagamoyo, Bunju yote na maeneo yanayozunguka.
|
MKOA WA KINONDONI
KUSINI:
SABABU: Kufanya matengenezo ya line ya
msongo mkubwa na kufunga switches.
TAREHE & MUDA
|
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA
|
Jumatano - Alhamisi
2/10/2013
- 3/10/2013 03:00 Asubuhi – 11:00 Jioni
|
Ubungo Kibangu, Makoka, Kimara Mwisho,
Bonyokwa, Kimara Stop Over, Kimara Temboni, Kimara Suka, kwa Msuguli, Kibanda
cha mkaa, Mbezi mwisho, King’ong’o, Makabe, Mpigi Magohe, Kwembe, Kibamba,
Malamba Mawili na maeneo ya karibu.
|
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia
simu zifuatazo KINONDONI KASKAZINI 022 2700367, 0784
768584, 0716 768584,
KINONDONI KUSINI 0222171762 – 65,
0784271461, 0715271461, Au namba za Huduma kwa Wateja 2194400
or 0768 985100
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO MAKAO MAKUU,