Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) linawataarifu
wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama
ifuatavyo:-
1. TAREHE Jumamosi 30.05.2015
MUDA: Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00
Jioni
SABABU: Kukata
miti na kubadilisha nguzo zilizooza za katika laini.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Mlimani City,
TCRA-Mawasiliano Tower, Shule ya Sheria, Ubungo Plaza, Magomeni Mapipa,
Manispaa ya Kinondoni, TTCL Magomeni, Hospitali ya Manispaa Magomeni, Dar Brew,
Banki ya NBC Ubungo, TBS, Stendi ya Mabasi Ubungo, Hoteli ya Rombo Green View, TBl
Ubungo, Pan Africa, Magomeni Mwembe Chai, Magomeni Mapipa, Magomeni Mikumi, Kigogo
yote, Manzese Bakharesa, Argentina na Manzese Midizini.
2. TAREHE:
Jumatatu, 01.06.2015 na Jumanne,
02.06.2015
MUDA: Saa
03:00 Asubuhi hadi11:00 jioni.
SABABU: Kubadilisha nguzo zilizooza na matengenezo katika
laini kubwa ya Umeme.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Ubungo Kibangu,
Hosteli ya Mabibo, Makuburi, Mabibo Mwananchi, Mwananchi Communication LTD, Ami,
Costal Miller, Maxon LTD, Colour Print LTD.
Tafadhali usishike
waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo Kinondoni Kusini dawati la
dharura: 0222172393
– 0784271461, 0715271461, Au kituo cha miito ya dharura 2194400 or
0768 985100
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa
na: OFISI
YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment