TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa
Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: Jumamosi 01/08/2015 na Jumapili ya 02/08/2015
MUDA: 03:00
Asubuhi – 10:00 jioni
SABABU: Matengenezo kwenye kituo cha kupoozea
umeme cha TANDIKA na kubadili nguzo chakavu.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA NI:
JUMAMOSI
TAREHE 01/08/2015
Yombo yote hususani maeneo ya
Makangalawe, Dovya, Vituka, Buza, Sigara, Kipera, Kilakala, Kisiwani, Tandika
sokoni, Temeke Mwisho, Wailes, Temeke Hospital, Magurewe, Sandali, Kwa Azizi
Ally, Uwanja wa Sabasaba, Twalipo, Wizara ya Kilimo, Dar-Group Hospital, Charambe,
Maji Matitu, Chamanzi, Mbande, maeneo ya Kisewe na maeneo yanayozunguka.
JUMAPILI TAREHE 02/08/2015
Maeneo ya Mtoni Mtongani, Kwa
Azizi Aly, Mbagala Mission, KTM, Mtongani, Mtongani Madafu, maeneo yote ya
Kigamboni na maeneo yanayozunguka.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa
kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:- 0222138352, 0788 499014, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 / 0768 985 100
Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO
– MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment