April 1, 2019

TAARIFA YA HUJUMA KATIKA MIUNDOMBINU YA UMEME NJIA KUU UBUNGO - MLANDIZI



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake na Wananchi kwa ujumla juu ya Tukio la Uhujumu wa Miundombinu ya Umeme katika Njia Kubwa ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa 132 kutoka Ubungo kwenda Mlandizi "Tower" No. 72  lililotokea usiku wa kuamkia leo Aprili 01, 2019.

*TANESCO inaomba ushirikiano wenu ili  kuwabaini  wote  waliohusika  na tukio  hili  la uhalifu.*

Wataalamu  wa Shirika wanahakikisha Tukio  hili  haliathiri  upatikanaji  wa huduma  ya umeme kwa Wateja  wetu.

*Toa taarifa katika Kituo cha Polisi kilichopo karibu, ofisi ya TANESCO au kupitia mwawasiliano yafuatayo*

Kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100

Tovuti: www.tanesco.co.tz,

*Mitandao ya kijamii*

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

 Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

*IMETOLEWA NA:*

OFISI YA UHUSIANO




No comments:

Post a Comment