Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) linawataarifu
wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme
siku ya JUMATATU tarehe 27/10/14 naJUMATANO
tarehe 29/10/14 kuanzia saa 3:00
asubuhi hadi 11:00 jioni.
SABABU: Matengenezo, kukata miti,na kubadilsha
Nguzo zilizooza.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Tarehe 27/10/14
Baadhi
ya Maeneo Mikocheni 'B', Maeneo ya Mh.
Mwinyi, Mwalimu Nyerere, na Warioba
Baraka plaza, Regency park hotel, Maji mchafu area, Heineken, Shekiland,
Msasani kwa Mamwinyi, Soko la samaki, Kunduchi yote, Kunduchi Pwani, Kunduchi
Recruitment Training School (RTS)
,Mbuyuni, MECCO, JKT machimbo, Tegeta darajani, Salasala kwa Mboma,
Kilimahewa, Salasala Benaco, RTD Salasala, Salasala Kijijini, Green Acres
school, Part of Kilongawima, Mbezi Africana, T-square bar, mbezi Majumba sita,
Lugalo Salasala, Kinzudi. Viwanda vya Magodoro Dodoma, Kays Hygine products, Umoja investment, Cocacola
Kwanza, BIDCO, Soza plastics, Quality plastics, Konoike, Chuo Kikuu cha
Tumaini, Good year, Holtan, Saba Industry, na Maeneo ya Jirani
Tarehe 29/10/14
Mbezi
juu, Mbezi samaki, Baraza la Mitihani Mbezi, St.Marys school mbezi, Mbezi
garden, Ndumbwi, Mbezi kwa Msomali, Mbezi Makonde, Mbezi Machakani, Mbezi NSSF,
Mbezi Masoko ya kariakoo flats, Mbezi Jogoo, Art Garlery, Agape Television,
Maaza juice factory ,Polypet industry, Interchik, Chemi& Cotex factories.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia
simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584, 0716 768584 au
Call centre namba 2194400.
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:- OFISI
YA UHUSIANO,
TANESCO
– MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment