Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo
la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: Jumapili 18 Septemba,
2016
MUDA: 02:00 Asubuhi hadi 12:00
jioni
SABABU: Matengenezo kwenye Kituo cha Kupozea Umeme - Ubungo
33kv ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Baadhi ya maeneo ya Nida, Epza Mandera,Sita
Steel, Mataulo Mandera Road, BP Mandera Road, Mwananchi Commucation, SAS
Mandera road,Simba Steel, Tanroad Mandera Road, Usangu garage, Maxon
Paper,Azania Mills, Landmark Hotel, Olam, Coastal Miller, Tridea Cosmetics pamoja na maeneo ya
jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo;-
Dawati la dharura
Mkoa wa Kinondoni Kusini
0222171759/66/0784/0715271461, Kimara Ofisi ya Wilaya 0717/0788379696 Au Kituo
cha miito 2194400/0768 985100
Uongozi unasikitika kwa
usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment