December 27, 2010

JEDWALI LENYE KUONYESHA ONGEZEKO LA BEI YA UMEME KWA UNITI BAADA YA NYONGEZA ILIYOIDHINISHWA NA MAMLAKA YA UDHIBITI WA NISHATI NA MAJI (EWURA)

 Makundi ya Watumiaji
Bei ya Matumizi (kWh)
Bei ya sasa Kuanzia
1-Jan-08
(TSh)
Bei  Mpya Kuanzia
1-Jan-11
(TSh)

Tofauti kati ya Bei Mpya na ya Zamani(Tsh)
D1
Matumizi madogo madogo ya Nyumbani
Gharama ya chini
  0 – 50 kWh/mo
49/=
60/=


    11/=
T1
Matumizi ya  kawaida
Gharama za nishati kwa uniti
129 /=
157 /=

    28/=
T2
Mahitaji ya juu ya msongo mdogo
Gharama za nishati kwa uniti
85 /=
94/=


     9/=
T3/T3a
Mahitaji ya juu  ya msongo mkubwa
Gharama za nishati kwa uniti
79 /=
84/=


     5/=
T5/T3b
Shirika la Umeme  Zanzibar
Gharama za nishati kwa uniti
75 /=
83 /=


     8/=

No comments:

Post a Comment