Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) linawataarifu
wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme
kama ifuatavyo:-
MUDA: Saa 3:00 Asubuhi – 11:00 Jioni
SABABU: Matengenezo, kukata miti na kubadilisha
nguzo zilizooza
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA NI:-
TAREHE 19/08/14
Bunju, Tegeta CCM,Chanika,Njia panda ya wazo ,
Tegeta masaiti, Tegeta Namanga, Boko, Ndege beach, Mbweni, Wazo quorters,
Dogodogo centre, uwanja wa Nyuki, Mwananyamala 'A' & 'B', Makumbusho Sokoni, Shule ya msingi Ukombozi, Garden
Police post.
TAREHE
20/08/14
Mikocheni 'A', Ofisi ya Raisi Makumbusho, Chuo
cha Uandishi wa habari, Mlimani TV, Msasani Kisiwani, Shoppers plaza, TMJ
hospital, Mayfair plaza, Bonde la Mpunga, Tanesco quorters, Zantel, Msasani
Makangira , Regent estate, Kairuki hospital
TAREHE
21/08/14
Mikocheni, Industrial, Sinza, Kijitonyama, mwenge,
Mbezi Tangi bovu, Mbezi Lyagunga, na Mbezi Zawadi, Bunju, Tegeta
CCM,Chanika,Njia panda ya wazo factory, Tegeta masaiti, Tegeta Namanga, Boko,
Ndege beach, Mbweni, Wazo quorters, Dogodogo centre, uwanja wa Nyuki.
Tafadhali
usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584, 0716 768584 au namba za huduma kwa wateja
2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote
utakaojitokeza
Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO –
MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment