BW. DEONATUS M. KIHEKA
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautangazia umma
kuwa mtajwa hapo aliyekuwa Mhasibu Kituo cha Ngara Mkoa wa Kagera si mfanyakazi
tena wa (TANESCO) kuanzia Juni 10, 2014 kutokana na yeye mwenyewe kujiachisha kazi
kutokana na utoro bila taarifa yeyote kwa mwajiri wake (Absconded).
Kwa sababu hiyo, Shirika halitahusika na kazi au makubaliano
yoyote yatakayofanywa na Bw. Kiheka kwa niaba ya TANESCO.
Imetolewa na Ofisi ya
Uhusiano,
TANESCO MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment