Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na
katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: Jumamosi, 30/08/2014
MUDA: 03:00 asubuhi – 6:00 mchana
SABABU: Kuunganisha mfumo wa mawasiliano.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Eneo lote la
Tandale, Manzese, Mabibo, Mburahati, Magomeni DDC na Magomeni Popobawa,
Sinza Mwika, Palestina, Makaburini, Urafiki Textile, Millenium Business Park,
Tanzania
Steel Pipe na Maeneo ya Karibu.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia
simu zifuatazo 0784/0715-271461, Kituo cha miito 2194400 AU0768- 985100.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO
MAKUU.
No comments:
Post a Comment