Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) linawataarifu
wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama
ifuatavyo:-
TAREHE: 28/08/2014, Alhamisi
MUDA: 3:00 asubuhi – 11:00 jioni
SABABU: Matengenezo,
kukata miti na kubadilisha Nguzo zilizooza
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Sea
Cliff hotel, TPDF Masaki mwisho, Government quorters Masaki, Coral beach, Coral
lane, Yatch club, Slip way, Trauma hospital, Mtaa wa Mahando, Kinondoni 'A & B', baadhi ya maeneo
Kinondoni block 41, Biafra, Mtaa wa
Kanazi ,Togo , Wibu, Open University of Tanzania, Ufipa, Kinondoni
Moscow, Livingstone, Hananasifu, Mkwajuni, Kinondoni studio, Manyanya, Chuo
Kikuu cha Tumaini, Kambangwa secondary
na maeneo ya jirani.
Tafadhali
usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka, toa taarifa kupitia simu
namba: 2700367, 0716 768584 na 0784 768584
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote
utakaojitokeza.
Imetolewa na:- OFISI
YA UHUSIANO,
TANESCO
– MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment