Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini
kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMATANO
tarehe 01/10/14, ALHAMISI tarehe 02/10/14, kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 10:00
jioni. Sababu ni Matengenezo na Kukata
Miti.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Tarehe 01/10/14
Mbezi juu, Mbezi samaki, Baraza
la Mitihani Mbezi, St.Marys school mbezi, Mbezi garden, Ndumbwi, Mbezi kwa
Msomali, Mbezi Makonde, Mbezi Machakani, Mbezi NSSF, Mbezi Masoko ya kariakoo
flats, Mbezi Jogoo, Art Garlery, ATN/Agape Television,Viwanda vya Maaza juice, Polypet industry, Interchik Chemi& Cotex. ITV, Radio One, Tan pack tissues, Mwenge Kijijini,
Bamaga,Chuo cha Ustawi wa Jami, Science Tume ya Sayansi, Polisi Mabatini, Afrika
sana, TRA Mwenge, Shule ya Msingi Mapambano, Flats za Chuo Kikuu cha dar es
salaam, Blue bird area, flats za Jeshi TPDF Mwenge, Mama Ngoma hospital, TBC
flats, BOT flats, Kijitonyama kwa Mwarabu
Tarehe 02/10/14
Goba, baadhi ya maeneo salasala, Wazo kwa Makamba, Wazo mji mpya,
Shule ya Sekondari wazo, Mivumoni, Madale scourt. Light industries of Magodoro Dodoma, Kays Hygine
products, Cocacola Kwanza, BIDCO, Soza plastics, Quality plastics, Mikocheni business area, Ushindi primary school, BIMA
flats, Five star, Mikocheni 'B' Assemblies of God,Cocacola rd, Msasani beach, Kawe
beach, Kawe Maringo, Clouds entertainment, K-Net tower.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367,
0784 768584, 0716 768584..
Au Call centre namba
2194400.
Uongozi unasikitika kwa
usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa
na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO –
MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment