Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa
wa Ilala
kuwa kutakuwa na katizo
la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE
|
MUDA
|
SABABU
|
MAENEO
YANAYOATHILIKA
|
20th
-21Septemba,2014
Jumamosi-Jumapili
|
09:00-18:00pm
|
Kuamisha line kubwa wa 11KV ili kupisha ujenzi wa
132KV inayotoka Ubungo kwenda Gongolamboto
|
Alhamza,
Buguruni Mnyamani, Saafa Plastic, Murzah Soap, Metro Plastic, Omary Packging,
Jumbe Packaging, Kiwalani Kigilagila, kwa Dingubita, Beach, kwa Gude
|
21st September,2014
Jumapili
|
09:00-18:00pm
|
Kufanya matengenezo,Kubadilisha Nguzo
zilizooza,Kukata Matawi ya Miti na Kukaza Nyaya katika Njia Kubwa ya Umeme ya
C2 na C8
|
Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Viwanja vya Gymkhana,Hoteli ya Serena,Hospitali ya
Agakhani,Hoteli ya Protea,barabara ya All Hassan Mwinyi baadhi ya maeneo
yaliyoko pembezoni mwa barabara ya Alkhanina,Las Vegas Casino,maeneo ya mtaa
wa Ruhinda,Mtaa wa Vijibweni,baadhi ya maeneo ya mtaa wa Ohio,maeneo ya Sea
view,Makao Makuu ya benki ya Exim na maeneo yanayouzunguka.
|
Tafadhali usishike waya uliokatika
toa taarifa kupitia simu zifuatazo:
022
213 3330, 0784 768586, 0715 768586. Au Call centre
namba
022- 2194400/0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa
na: Ofisi ya Uhusiano,
Tanesco-Makao Makuu
No comments:
Post a Comment