UONGOZI wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),
unapenda kuutaarifu umma kuwa Bw. Sylvester Alphonce Mashauri (pichani juu)
aliyekuwa mwajiriwa wake mkoa wa Tanga kama Fundi Umeme, si mwajiriwa tena wa
TANESCO kuanzia Septemba 1, 2014.
Kwa sababu hiyo, Shirika linatoa tahadhari kuwa halitahusika na kazi au
makubaliano yoyote yatakayofanywa na Bw. Sylvester Mashauri kwa niaba ya
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Imetolewa
na: Ofisi ya Uhusiano,
TANESCO - Makao Makuu.
No comments:
Post a Comment