Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: Jumapili 28 August, 2016
MUDA: 02:00 Asubuhi hadi
12:00 jioni
SABABU: Matengenezo kwenye Kituo
cha Kupozea Umeme - Ubungo 33Kv ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Baadhi ya maeneo ya barabara ya Mandela,
Nida, Epza, Royal Detergent Soap,Sita Steel,TFDA,MSD,NIMR, Simba Steel, BP, SAS, Tanroad Mandera Road, Usangu garage,
Maxon Paper, AMI, Alhushoon Investment,
TSP Ltd, Tech Park, Agro Food Processing, Mabibo, Hostel, Jeshini, External, Hostel, Msd, kwa Mbonde, Msikitini,
Mabobo Royola, Mabibo Muleba Bar, TGNP Mabibo, Masamaki, Kibangu, Ubungo River
Side, Azania Mills, Landmark Hotel, Olam, Coastal Miller, Tridea Cosmetics,
Tbs, Tanesco Quarters, Wizara ya maji, Darbrew, Tbl Deport, Ubungo Bus
Terminal, Ubungo Daladala Terminal
(Simu2000), Nbc, TTCL, Ubungo Kisiwani, Maziwa, Kibo, Msewe, Legho Hotel, Rombo
Green View Hotel, Sinza Madukani, Sinza Mugabe, Tandale yote, Urafiki Textile,
Urafiki Flats, Manzese yote,
Changanyikeni, Makongo juu, Kimara, Baruti, Safari Resort, Korogwe, Kimara Mwisho, Matangini, Kirungule,
Suka,Temboni,Golani, Mavurunza, Goba,Kimara King’ong’o, Makabe, Mbezi yote,
Mpigi Magohe, Tegeta ‘A’ pamoja na maeneo ya jirani.
Tafadhali
usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo,Kinondoni kusini dawati
la dharura 0784/0715
271461 Au kituo cha miito ya simu
2194400 au 0768 985100
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment