April 22, 2015

TAARIFA KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake Wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-jumatano tarehe 22 Aprili 2015 kuanzia saa 03:00 Asubuhi hadi saa 12:00 jioni

SABABU: 1.Kufanya matengenezo na kukata miti katika njia ya msongo Mkubwa wa umeme wa 33KV.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA: Maeneo yote ya Kigamboni.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
0222138352, 0788 499014, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 / 0768 985 100
 Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza

Imetolewa na :
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment