September 30, 2013

KATIZO LA UMEME – MIKOA YA KINONDONI KASKAZINI NA KUSINI



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mikoa ya Kinondoni Kaskazini na Kinondoni Kusini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

MKOA WA KINONDONI KASKAZINI:

SABABU: Kukata miti chini ya laini.

TAREHE NA MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Jumatano                             02,October,2013                        0300 - 1100 Jioni
ITV na Radio One, Tan pack tissues, Mwenge Kijijini, Bamaga, Chuo cha Ustawi wa Jamii, Hongera bar, Tume ya Sayansi, Polisi Mabatini, maghoroa ya Chuo cha Ustawi wa Jamii, Afrika sana, TRA Mwenge, Shule ya Msingi Mapambano, Maghorofa ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Mtaa wa Meeda bar, maeneo ya Blue bird, maghorofa ya Jeshi la Wananchi Tanzania- Mwenge, Hospitali ya Mama Ngoma, Maghorofa ya TBC, Mtaa wa Ikangaa, Maghorofa ya BOT, maeneo ya Kijitonyama kwa Mwarabu na maeneo yanayozunguka.
Alhamisi                          03,October ,2013                        0300 - 1100 Jioni
 Mikocheni 'A', Ofisi ya Raisi Makumbusho, Chuo cha Uandishi wa habari, Mlimani TV, CCM kwa Marwa bar, Msasani Kisiwani, Shoppers Plaza, Hospitali ya TMJ, Mayfair Plaza, Bonde la Mpunga, Kota za TANESCO, Zantel, maeneo ya Namanga, Msasani Makangira, Maandazi road, Mtaa wa Butembo, Regent estate, Hospitali ya Kairuki/Mikocheni, Mitaa ya Ursino na Chatto na maeneo yanayozunguka.
Ijumaa                              04 ,October,2013                        0300 - 1100 Jioni
Kunduchi yote, Kunduchi Pwani, Kunduchi Recruitment Training School (RTS) of TPDF, Mbuyuni, MECCO, JKT machimbo, Tegeta darajani, Salasala kwa Mboma, Kilimahewa, Salasala Benaco, RTD Salasala, Salasala Kijijini, Green Acres school, Part of Kilongawima, Mbezi Africana, T-square bar, Mbezi Majumba sita, Lugalo Salasala, Kinzudi, Bagamoyo, Bunju yote na maeneo yanayozunguka.

MKOA WA KINONDONI KUSINI:

SABABU: Kufanya matengenezo ya line ya msongo mkubwa na kufunga switches.

TAREHE & MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Jumatano - Alhamisi
2/10/2013 - 3/10/2013              03:00 Asubuhi – 11:00    Jioni
Ubungo Kibangu, Makoka, Kimara Mwisho, Bonyokwa, Kimara Stop Over, Kimara Temboni, Kimara Suka, kwa Msuguli, Kibanda cha mkaa, Mbezi mwisho, King’ong’o, Makabe, Mpigi Magohe, Kwembe, Kibamba, Malamba Mawili na maeneo ya karibu.


Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo KINONDONI KASKAZINI  022 2700367, 0784 768584,  0716 768584, KINONDONI KUSINI 0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461,  Au namba za Huduma kwa Wateja 2194400 or 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO MAKAO MAKUU,

September 27, 2013

POWER INTERRUPTION NOTICE ILALA

The Tanzania Electric Supply Company TANESCO regrets to inform its esteemed customers in Ilala region that power supply will be interrupted as follows:- DATE TIME REASONS AREAS AFFECTED 29/9/2013 09:00am to 13:30pm Connection of new customer on HT side at Aggrey/Likoma (feeder D9) Msimbazi,Uhuru street,Kariakoo market & surrounding areas. 29/9/2013 14:00am to 15:00pm Connection of new customer on HT side at Jangwani (feeder D10) Muhimbili hospital,Jangwani secondary & surrounding areas. 29/9/2013 16:00pm to 17:00pm Connection of new customer on HT side at Bungoni(feeder D7) Ilala Boma, Amana hospital, Bungoni, Malapa, Buguruni Shell & surrounding areas. In case of emergency please call Call centre numbers Through Telephone Numbers 022-2194400 au 0768 985 100 Any inconveniences are highly regretted. Issued by: Public Relations Office Tanesco-Makao Makuu

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mikoa ya Ilala,Temeke naWilaya ya Kisarawe kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-



TAREHE:     Jumamosi, 28/09/2013.

SAA:               12:30 Asubuhi- 12:30 Jioni

SABABU: Kufanya Marekebisho ya Kiufundi katika ‘Transformer’ la 45MVA, 132/33kV na Kuongeza uwezo wa ‘Busbar’ za msongo wa 33kV ili Kuwasha Transfoma Kubwa la 90 MVA Katika Kituo cha Kusambaza Umeme cha Kipawa

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Airport Terminal 1, Julius Nyerere International Airport, Prince Ware Industry, baadhi ya maeneo ya Kiwalani, Part of Nyerere Road, Kipawa, Majumba-Sita, Sitakishari, Karakata, PEPSI, Airwing JWTZ, Banana, SIDO, Murzah Oil, East African Cable, Metro Steel, Metro Plastic, Omar Packaging, Bakhressa (Kipawa),  Azam Ice cream (Vingunguti), Simba Net, Tanzania Brush, DHL - Banda la Ngozinamaeneojirani, TAZARA Station na Pampu ya Maji ya JNIA. NAMERA, KIU, AVIATION HOUSE - Banana, MagerezaUkonga, Gongolamboto, Kipunguni, Kivule, Mwanagati, Kinyantira, Majohe, Chanika, Kibeberu, Mongolandege, Pugu, Minaki, Kisarawe na maeneo jirani. Eneolote la Tabata pamoja na Kinyerezi, Segerea,  Bunyokwa, Kisukuru, Bangulo na maeneo jirani.

Mengineni; Eneolote la Chang'ombe, Temeke Hospital, TBC, baadhi ya maeneo yaTemeke, Temeke Mikoroshini, Vertenary, ‘KilimonaUvuvi’, maeneo yote ya Tandika, Mtoni-Kichangani, Mtoni -mashine ya maji, Yombo yote, pamoja na Yombo-buza, Vituka, Kwa-Limboa, Davis Corner, Kwa Lulenge na maeneo jirani. 

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa  kupitiasimu zifuatazo:
022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586.au Call centrenamba 022- 2194400/0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu  wowote utakaojitokeza

               Imetolewa na:  Ofisi ya Uhusiano
                                         Tanesco-Makuu

September 26, 2013

MWANZA

KATIZO LA UMEME MKOA WA MWANZA NA WILAYA YA GEITA.
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa Mwanza na wilaya ya Geita, kuwa kutakuwepo na katizo la umeme SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 28/09/2013 kuanzia saa 2:00 Asubuhi hadi saa 12.00 JIONI.
SABABU YA KATIZO HILI NI MATENGENEZO KWENYE KITUO KIPYA CHA KUPOKELEA UMEME KILICHOJENGWA NA MRADI WA MCC KILICHOPO NYASAKA NA KUBADILISHA NGUZO ZILIZOOZA KATIKA ENEO LA IBANDA.
Maeneo yatakayoathirika na katizo hili ni NYASAKA,MAJANINI,NATIONAL,BAADHI YA MAENEO YA MABATINI,FURAHA BAKERY,MWATEX,MECCO,NYAKATO FOOD, NYAKATO MWANANCHI,BUZURUGA, BUSWELU, KANGAE,SIMA, IGAKA, ISUNGANHOLO, KASAMWA,SARAGULWA, CHIGUNGA, CHIKOBE,BUKONDO NA GEITA MJINI.
TAHADHARI
Tafadhali usishike,usikanyage wala kusogelea nyaya za umeme zilizolala chini ,unaweza kuwasiliana  na kitengo  cha  dharura TANESCO Mwanza  kupitia  namba zifuatazo 028 250 0090 , 028 250 1060.
SHIRIKA LINAOMBA RADHI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA.
                        Imetolewa na:    Ofisi ya Uhusiano.
                                                   Tanesco:MakaoMakuu                                         

September 25, 2013

MKOA WA PWANI WILAYA YA KISARAWE

TAARIFA KWA UMA
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Pwani Wilaya ya Kisarawe  kumekuwa na tatizo la kukatika katika kwa umeme  maeneo ya mwisho wa Lami,Pugu,Majohe,Chanika,Buyuni na Kisarawe tokea siku ya Ijumaa tarehe 20/09/2013.
Hali hii imesababishwa na watu wasiowema kukata na kuchoma nguzo za laini kubwa hivyo kusababisha kukatika katika kwa umeme nakupelekea baadhi ya vifaa vinavyothibiti mwenendo wa umeme kwenye kituo chetu cha kupozea umeme kilicho Gongo la Mboto kupata hitilafu.Mafundi wetu wamesharekebisha tatizo hili na sasa hali itarejea kama kawaida pamoja na marekebisho madogo madogo yatakuwa yakifanyika pindi yatakapojitokeza.
Tunaomba radhi kwa tatizo hili ambalo lilikuwa nje ya uwezo wetu.Pia tunawaomba wananchi wasiowema kuacha vitendo vya kuhujumu miundo mbinu ya umeme kwa kuwa inalisababishia shirika hasara kubwa na kusababisha usumbufu kwa wateja wetu.
Imetolewa Na:-      Ofisi ya Uhusiano
                                Tanesco-Makao Makuu            
                         

PWANI

KATIZO LA UMEME MKOA WA PWANI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake Mkoa wa Pwani kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya  Ijumaa Septemba 27, 2013 kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 07:00 Mchana. 
Sababu. Kufanya matengenezo, kubadilisha nguzo zilizooza katika Line ya Msongo wa 33KV Mkuranga
Maeneo yatakayoathirika ni :-  Mkuranga mjini
Tafadhali usishike, usikanyage wala kusogelea nyaya za umeme zilizolala chini, ijulishe TANESCO mara moja kwa simu na:. 0657 108782 au Kituo Cha Kupokea Miito Ya Simu namba 2194400  au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa  usumbufu wowote utakaojitokeza.
IMETOLEWA NA:  OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO - MAKAO MAKUU.

DODOMA



TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA DODOMA


Shirika la umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa mkoa wa Dodoma kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya IJUMAA tarehe 27,septemba 2013 kuanzia saa saa 03:00 asubuhi hadi saa 11:00 Jioni.

Sababu ni kubadilisha nguzo zilizochakaa.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:-
Hospitali ya Ntyuka DCMC, Kiwanda cha Maji ‘’AHSANTE’’  Chuo Kikuu Dodoma, Maeneo ya Kisasa, Nzuguni, Nane nane,Ihumwa Jeshini (JWTZ), Ihumwa Kijijini, Kijiji cha Hombolo, Mtumba, Vikonje, Chamwino Ikulu, Buigiri, Chinangali I, Chalinze, Chilonwa,Manchali, Maeneo yote  ya Wilaya ya Kongwa, Gairo na Wilaya ya Mpwapwa.


TAFADHALI USIGUSE WALA KUKANYAGA NYAYA ZILIZOANGUKA, toa taarifa kupitia namba zifuatazo Dodoma Regional Emergency desk: 026 2321728, and 0732961274. au Call centre numbers 2194400 or 0768 985 100.

Tunasikitika sana kwa usumbufu utakaojitokeza.



Imetolewa na    Ofisi ya Uhusiano.
                          TANESCO – Makao Makuu.

September 23, 2013

FURSA PEKEE

LIPA DENI LA UMEME USAMEHEWE RIBA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake wenye madeni ya umeme kuwa linatoa msamaha wa riba kwa kipindi cha miezi sita (6) kuanzia tarehe 1 Oktoba, 2013 hadi tarehe 31 Machi, 2014.
Katika kipindi hicho wateja wenye madeni wataruhusiwa kulipa madeni yao bila riba kwa sharti la kumaliza kulipa deni lote katika kipindi cha miezi sita.
Ili unufaike na fursa hii tafadhali fika kwenye ofisi ya TANESCO ya Mkoa au Wilaya iliyo karibu nawe, na uingie mkataba ya kulipa deni ndani ya miezi sita bila riba.
Msamaha wa riba utatolewa kwa mteja yeyote wa TANESCO mwenye madeni ya muda mrefu.
Usiikose fursa hii maalum na ya pekee. Lipa deni lako sasa, ufurahie huduma bora za umeme.
IMETOLEWA NA:
MKURUGENZI MTENDAJI - TANESCO

MKOA WA TEMEKE

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: Jumatano 25/09/2013
MUDA:Saa 3:00Asubuhi – 12:00jioni
SABABU:KufungaTransfoma mpya na kubadilisha nguzo zilizooza
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
YomboBuza, Yombo Makangarawe,Lumo,Kwalulenge,YomboSigara,Mwishowa Lami, Yombo Vituka,Part of Tandika,MtoniMashineyaMaji No.5 na maeneo ya jirani.
Tafadhaliusishikewayauliokatika, toataarifakupitiaDawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miitoyasimu 022 2194400 /
0768 985 100
Uongozi unasikitikakwausumbufuwowoteutakaojitokeza
Imetolewa na : 
                           Ofisi Ya Uhusiano
                           Tanesco-Makao Makao

KINONDONI

KATIZO LA UMEME –KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:
SABABU: 
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA 
Jumanne
24 September 2013
0300-1100 Jioni
Kukata miti chini ya laini
ITV and Radio One,Tan pack tissues,Mwenge Kijijini, Bamaga,Chuo cha Ustawi wa Jamii/Welfare Institute,Hongera bar,Science Commission/Tume ya Sayansi,Polisi Mabatini,Flats za Chuo cha Ustawi wa Jamii,Afrika sana,TRA Mwenge,Shule ya Msingi Mapambano,Flats za Chuo Kikuu cha dar es salaam,Meeda bar street,Blue bird area,flats za Jeshi TPDF Mwenge,Mama Ngoma hospital,TBC flats,Ikangaa street,BOT flats,Kijitonyama kwa Mwarabu area.
Jumatano                             25,September,2013                        0300 - 1100 Jioni
Kukata miti chini ya laini
Government houses Mikocheni,TPDC,Rose Garden,TTCL Kijitonyama,Earth satelite,Commission of Universities of Tanzania,Millenium tower,Letisia tower,CRJE,Heko Kijitonyama,Mjimwema,Kijitonyama Ali maua,Kijitonyama Kisiwani,Hon.Anna Makinda area,Contena bar,Queen of Sheba area,Bobs motel,Roman Catholic church Kijitonyama,Johannesburg & Wanyama & Lion hotels,
Alhamisi                          26,September ,2013                        0300 - 1100 Jioni
Kukata miti chini ya laini
.
Mikocheni business area,Ushindi primary school,BIMA flats,Five star, Mikocheni 'B' Assemblies of God,Cocacola rd, Msasani beach,Kawe beach,Kawe Maringo, Clouds entertainment,K-Net tower.
Ijumaa                              27 ,Septembert,2013                        0300 - 1100 Jioni
Kukata miti chini ya laini.
Kunduchi feeder:
Mbezi juu,Mbezi samaki,Baraza la Mitihani Mbezi,St.Marys school mbezi,Mbezi garden,Ndumbwi,Mbezi kwa Msomali,Mbezi Makonde,Mbezi Machakani,Mbezi NSSF,Mbezi Masoko ya kariakoo flats,Mbezi Jogoo,Art Garlery,ATN/Agape Television,Maaza juice factory,Polypet industry,Interchik and Chemi& Cotex factories.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584..
Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:   Ofisi ya Uhusiano,
                         TANESCO Makao Makuu