July 30, 2015

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALA




Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:       Jumamosi, 01/08/2015
                 
SAA:               3:00 Asubuhi- 12:00 Jioni

SABABU:     kuboresha hali ya upatikanaji ya umeme  wa uhakika kwenye
                      kituo cha umeme sokoine kwa kupunguza mzigo kwenda kituo
                      cha city center

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Barabara ya Ally Hassan  Mwinyi, Upanga Mtaa wa Union, Kilombero, Longido, Mtitu, Kimara, Seaview, Ruhinda, Protea Hoteli, Las  Vegas, Aghakhan, Raha Tower, Holiday inn hoteli, YMCA, bank ya posta, Maktaba ya taifa, Makunganya,  Tanzania library, Azikiwe, Hospitali ya AAR, Cortcar, Bilcanas, NMB Azikiwe, Breakpoint, mtaa wa Jamhuri, Haidar plaza, mtendeni, Nizar flats na mtaa wa Mrima,  Elia complex, DIT, CBE, NSSF, Umoja wa Vijana, Olympia, Upanga magore, Maweni, kitonga, Mfaume, Mazengo, kibasila, Diamond jubilee, Richmond tower, Swiss tower, mtaa wa  Mindu, mtaa wa Ohio, 


Wizara ya Mambo ya ndani, serena hoteli, PPF tower, Barclays bank, southern sun hotel, British council, ATC, vijibweni, AMREF,  VIVA tower na maeneo yanayozunguka.

TAREHE:       Jumapili, 02/08/2015
                 
SAA:               3:00 Asubuhi- 11:00 Jioni

SABABU:       Kukagua Mita za Wateja Walioko Kwenye Njia ya Umeme ya Msongo Mkubwa ya Sokoine na
                        Kufanya Matengenezo.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Wizara ya Afya, Wizara ya Ardhi, Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati na Madini. Wizara ya Elimu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Mahakama ya Rufaa, Makao Makuu ya Magereza, Kilimanjaro hotel, New Africa hotel, Mtaa wa sokoine, life house, Azania Front, Mtaa wa azania, Regency Hospital, Uhuru eight, Mtaa wa Ohio, amani place, Golden jubilee, IT plaza, Benki ya Tanzania, Ikuru, IFM, Wama. Barabara ya Ocean Road Hospital, Mtaa wa Shaban Robert, garden avenue, Holland house, parts of Samora avenue. Idara ya Takwimu, NMB House, RITA Tower, Baclays, Mafuta House, Umoja wa Vijana, CCM Tower, Parm Residency, maeneo yote ya magogoni na maeneo yanayozunguka.


Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:Ilala Emergency Desk- 022 213 3330, 0784 768586, 0715 76 85 86 au Call centre namba 2194400 au 0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.