August 30, 2013

KINONDONI KASKAZINI

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme litakalotokana na matengenezo katika kituo cha Mbezi Substation Siku ya Jumamosi tarehe 31/08/2013 kuanzia saa 0300 Asubuhi hadi saa 0900 Mchana.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:
Maeneo ya Mwenge, Lugalo Military base, Lugalo Hospitali, Maeneo yote ya Kawe, Maeneo ya Mbezi Beach na vitongoji vyake,
Tafadhali usishike waya uliokatika, na toa taarifa kupitia simu zifuatazo kwa dharula yeyote 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:   Ofisi ya Uhusiano,
                         TANESCO,MAKAO MAKUU

August 29, 2013

KINONDONI KUSINI

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
SABABU: Kuhamisha line kupisha ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi na Kufanya
                   matengenezo ya line ya msongo mkubwa.
TAREHE NA MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Jumamosi
31/08/2013              Saa 3:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni
Magomeni Makuti, Ofisi za Manispaa Kinondoni, Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya Kinondoni, Benki ya NMB tawi la Magomeni, Travetine Hotel, Kigogo Luhanga, Kigogo Sambusa, Mabibo Loyola, Mabibo Farasi, Mabibo mwisho,  Magomeni Sokoni, Magomeni Mikumi yote, Magomeni mapipa, bondeni Hotel, Matombo Street, Bp Magomeni Mwembechai, Magomeni polisi,Muhuto street,  Magomeni Kondoa,Mwembechai, Manzese Argentina, Manzese Sisi Kwa sisi,Manzese, Mburahati, Mabibo, Midizini. Na maeneo ya jirani.
Jumatatu - Alhamisi
02/09/2013 -05./09/2013              Saa 3:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni
Ubungo kibangu, Makoka, Kimara Mwisho, Bonyokwa, Kimara stop over, Kimara Temboni, Kimara Suka, kwa Msuguli, Kibanda cha mkaa, Mbezi mwisho, King’ong’o, Makabe, Mpigi Magohe, Kwembe, Kibamba, Malamba mawili na maeneo ya jirani.
Ijumaa
06/09/2013
Saa 3:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni
Changanyikeni, Changanyikeni jeshini Makongo juu, Ubungo msewe, Ubungo chai bora na maeneo yote ya karibu na hayo.
   
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461, Au Call centre number 2194400 or 0768 985100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:   OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

KILIMANJARO

KATIZO LA UMEME MKOA WA - KILIMANJARO

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa kutakuwa na katizo la umeme    siku ya JUMAMOSI tarehe 31/08/2013 kuanzia Saa 02:00 Asubuhi hadi Saa 12:00 Jioni.  Sababu ni kuzimwa kwa laini kubwa ya umeme ya 33KV ya Himo - Rombo ili kupisha ukataji wa matawi ya miti iliyosonga kwenye laini hiyo. 
MAENEO YATAKAYO ATHIRIKA:
MAENEO YOTE YA HIMO, KILEMA, MARANGU, KILUA NA WILAYA YA ROMBO.
                                                    
‘‘usiguse wala kusogelea waya uliokatika au kuanguka chini, toa taarifa kwenye ofisi ya TANESCO    kupitia namba 0272755007, 0272755008, na 0272754035
SHIRIKA LINAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAO JITOKEZA
IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

PWANI

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA PWANI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Pwani kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya IJUMAA tarehe 30/08/2013 kuanzia Saa  3:00 Asubuhi - 11:00 Jioni.  Sababu ni kufanya matengenezo, kubadilisha nguzo zilizooza katika line ya msongo  wa 33KV Lugoba
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:
Baadhi ya eneo la Chalinze, Msoga, Mboga, Lugoba, Mazizi, Msata, Mitambo ya maji Wami, Mandera, Miono, Mbwewe na maeneo yanayozunguka.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo: 0657 108782 au Call centre namba 2194400  au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.                  
                         

KAGERA

KATIZO LA UMEME MKOA WA KAGERA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linasikitika kuwatangazia wateja wake wa mkoa wa Kagera kwamba  kutakua na katizo la umeme katika siku za IJUMAA, JUMAMOSI NA JUMAPILI kuanzia saa 12:30 asubuhi hadi 12:30 jioni kwa mfululizo wa wiki AROBAINI (40). Katizo hili litaanza JUMAPILI ya tarehe 01/09/2013. Sababu ni Uboreshaji wa njia kuu ya usafirishaji wa umeme utakaofanywa na Kampuni ya umeme ya  Uganda nje ya mipaka
ya Tanzania nchini Uganda. 

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Maeneo yote ya Wilaya za Muleba, Karagwe,  Bukoba vijijini na Bukoba mjini.
Shirika linaomba radhi kwa wateja wake wote kwa usumbufu utakaojitokeza.
 
Tanesco tunaangaza maisha yako.
 
 
IMETOLEWA NA:  OFISI YA UHUSIANO
TANESCO -  MAKAO MAKUU

KATIZO LA UMEME


                                             MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme litakalotokana na matengenezo katika kituo cha Mbezi Substation Siku ya Jumamosi  tarehe 31/08/2013 kuanzia saa 03:00 Asubuhi hadi saa 09:00 Mchana.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:
Mbezi juu, Mbezi samaki, Baraza la Mitihani Mbezi, St. Marys school Mbezi, Mbezi garden, Ndumbwi, Mbezi kwa Msomali, Mbezi Makonde, Mbezi Machakani, Mbezi NSSF, Mbezi Masoko ya kariakoo flats, Mbezi Jogoo, Art Garlery, ATN/Agape Television, Maaza juice factory, Polypet Industry, Interchik and Chemi & Cotex Factories.

Mbezi bondeni, Luvent street, Almas street, Mwl Nyerere school, Mbezi Maguruwe, simba rd, Chui rd, Aly Sykes rd, Beach street, BOT Mbezi ,TTCL Mbezi beach, Zena Kawawa rd, Roman Catholic Mbezi beach, Mbezi miti mirefu, uwanja wa walenga shabaha, Jangwani beach, Belinda, Giraffe, Whitesands, and Green Manner hotels, part of Kilongawima, NMC quorters.

Lugalo Military base, Lugalo Hospital, the whole area of Kawe, NBC Kawe,2000 Industries Ltd, Majembe Auction Mart Mwenge, Mbezi Tangi bovu, Mbezi Lyagunga, Mbezi Zawadi, Shoko, Mwenge Survey, Mwenge bus stand and surroundings.

Tafadhali usishike waya uliokatika, na toa taarifa kupitia simu zifuatazo kwa dharula yeyote   022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au Call centre namba 2194400.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:          Ofisi ya Uhusiano,
                                    TANESCO,MAKAO MAKUU

August 27, 2013

MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

TAARIFA YA UFUNGUZI WA OFISI MPYA – MBEZI BEACH
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linayo furaha kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa Shirika limefungua ofisi mpya ya Wilaya ya MBEZI BEACH iliyopo maeneo ya Tangi Bovu ilipokuwa Supermarket ya IMALASEKO. Ofisi itahudumia wateja wa maeneo ya Mbezi Beach yote, Goba, Kunduchi, Salasala, Afrikana na Kilongawima.
HUDUMA ZINAZOTOLEWA KWA SASA NI:-
·     Kupokea maombi ya awali
·     Huduma za dharura
·     Uunganishwaji wa huduma ya umeme na
·     Huduma zote za kiufundi
TANESCO inaendelea na jitihada za kukusogezea huduma zake pale ulipo. Kwa mawasiliano zaidi piga namba zifuatazo: 022 2700367, 0784 768584, 0716 768584. Au Kituo cha Miito namba 2194400.
IMETOLEWA NA:  OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME – MKOA WA TEMEKE



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa  Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:     Alhamisi 29/08/2013
MUDA: Saa 3 Asubuhi – 12 jioni
         
SABABU:    Kuvuta laini ya msongo wa Kilovolt 11 na kufunga transfomer ya ukubwa wa
200KVA Yombo Makangarawe Mwembe Ulevi.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Yombo Makangarawe, Uda bovu, Yombo Dovya, Njia panda ya barabara ya Mwinyi na Malawi na maeneo ya jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo 2138352; 0712052720; 0758880155 au namba hii ya kituo cha huduma kwa Wateja 2194400 au 0786985100.        
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:   OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

August 26, 2013

KINONDONI NORTH

POWER INTERRUPTION NOTICE

The Tanzania Electric Supply Company TANESCO wishes to inform its esteemed clients in Kinondoni North region that power supply will be interrupted as follows:
DATE & TIME:
REASON: 
FEEDER& AFFECTED AREAS 
On Tuesday              27th,August,2013                        0900 - 1700 Hours
Tree cutting, poles replacement.
Tegeta CCM, Chanika, Njia panda ya wazo factory, Tegeta masaiti, Tegeta Namanga, Boko Basihaya, Boko CCM, Boko Maliasili, Boko National Housing, Ndege beach, Mbweni Kijijini, nyumba 151 za Serikali/Mh.Magufuli, Bakili Muluzi school, kwa Kala mweusi, Mbweni Mpiji, Wazo quorters, Dogodogo centre, uwanja wa Nyuki, Ofisi ya Raisi flats, Marando street, Bagamoyo, all parts of Bunju and surrounding areas.
On Wednesday              28st ,August,2013                        0900 - 1700 Hours
Tree cutting, poles replacement.
Karume and Tumbawe street, Hill rd, Kajificheni close, St.Peters, Don Bosco, Kinondoni block 41, Indonesian Embassy; Uwanja wa Farasi,  Josho la mbwa, Part of Msasani rd, Nigeria high commission, Century hotel and surrounding areas.
On Thursday              29st ,August,2013                        0900 - 1700 Hours
Tree cutting, poles replacement.
Mwananyamala 'A' & 'B', Mwananyamala hospital, Mwananyamala Kisiwani, Ujiji, Kwa Kopa, Kwa Mama Zakaria, Makumbusho Sokoni, Mwananyamala kwa Kidile, Mchangani, Meridian, Vijana, Masai pub, Sheikh Yahaya area/house, Shule ya msingi Ukombozi, Garden Police post and surrounding areas.
On Friday                         30st  August, 2013                        0900 – 1700 Hours
Tree cutting and poles replacement.
Kinondoni 'A & B',part of Kinondoni block 41,Biafra, Kanazi ,Togo and Wibu streets, Open University of Tanzania, Ufipa, Kinondoni Moscow and Livingstone streets, Hananasifu, Mkwajuni, Kinondoni studio, Manyanya, Tumaini University, Kambangwa secondary and surrounding areas.
In case of emergency please call Kinondoni North Emergency desk:
022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Or Call centre number 2194400
         
Any inconvenience is highly regretted.
Issued by:    PUBLIC RELATIONS OFFICE,
TANESCO – HEAD OFFICE.

August 22, 2013

KATIZO LA UMEME

TAARIFA KWA UMMA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kutoa taarifa kuwa, kumetokea tatizo la moto kwenye Kituo cha Kupooza na Kusambaza Umeme cha 33kV Ubungo jijini Dar es Salaam majira ya Saa 9:30 alfajiri usiku wa kuamkia Agosti 22, 2013 na moto huo ulidhibitiwa kwa ushirikiano wa vikosi vya zimamoto vya Jiji vya Knight Support na Security Group. 
Vifaa vilivyoharibiwa na moto huo ni pamoja na waya mkubwa za umeme “Power Cables”, Control Cables na T5 Breaker.  Mafundi wa Shirika wanaendelea na matengenezo na wameshafanikiwa kurudisha umeme kwa baadhi ya maeneo yaliyoathirika kutokea kwenye vituo vingine vya jirani.  Hata hivyo kazi hiyo inakadiriwa kukamilika kati ya wiki moja na nusu na wiki mbili ili kurejesha umeme kwenye hali ya kawaida. 
Maeneo yanayoathirika moja kwa moja ni Sinza, Tandale, Shekilango, Magomeni, Ubungo, Mlimani City, TCRA, Ubungo Plaza, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo cha Ardhi, Makongo,  Changanyikeni, Mabibo External, Mburahati, Manzese, Tabata, maeneo yote ya Barabara ya Mandela Kimara, Mbezi, Kibamba na maeneo yote ya jirani. 
Uongozi wa Shirika unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

August 21, 2013

POWER INTERRUPTION



POWER INTERRUPTION NOTICE – ILALA AND TEMEKE REGIONS


The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) regrets to inform its esteemed customers in Ilala and Temeke Regions that, power supply will be interrupted as follow:-

DATE:            On Saturday, 24th August, 2013
                         
TIME:             From 09:00 Hrs16:00 Hrs.

REASON:     Conducting Inspection and Testing of 33kV Breaker and replacement of High Voltage Poles Which Leaning Against Pepsi Industry-Kipawa.
    
AFFECTED AREAS:-
Kipunguni B areas, Moshi Bar Areas, Gongo la Mboto Areas, Mzambarauni areas, Kampala University and surrounding areas and Markaz, Part of Stakishari, Pugu, Kisarawe, Kichangani, Ulongoni A and B.

JWTZ Airwing, Airport Terminal I, Some parts of  Karakata areas, Parts of Stakishari areas and other areas which obtain power from this line.

In case of emergency please call (Call centre numbers) 022-2194400 au 0768 985 100

Any inconveniences are highly regretted.


Issued by:   PUBLIC RELATIONS OFFICE,
                        TANESCO – HEAD OFFICE.


POWER INTERRUPTION NOTICE




                  POWER INTERRUPTION NOTICE – ILALA AND TEMEKE REGION

The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) regrets to inform its esteemed customers in Ilala and Temeke Regions that, power supply will be interrupted as follow:-

DATE:            On Saturday, 24th August, 2013
                         
TIME:             From 09:00 Hrs16:00 Hrs.

REASON:     Conducting Inspection and Testing of 33kV Breaker and replacement of High Voltage Poles Which Leaning Against Pepsi Industry-Kipawa.
    
AFFECTED AREAS:-
Kipunguni B areas, Moshi Bar Areas, Gongo la Mboto Areas, Mzambarauni areas, Kampala University and surrounding areas and Markaz, Part of Stakishari, Pugu, Kisarawe, Kichangani, Ulongoni A and B.

JWTZ Airwing, Airport Terminal I, Some parts of  Karakata areas, Parts of Stakishari areas and other areas which obtain power from this line.

In case of emergency please call (Call centre numbers) 022-2194400 au 0768 985 100

Any inconveniences are highly regretted.


Issued by:   PUBLIC RELATIONS OFFICE,
                        TANESCO – HEAD OFFICE.