March 5, 2018
March 2, 2018
NAMBA ZA MADAWATI YA DHARURA -TANESCO DAR ES SALAAM
ILALA-CITY CENTRE
0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.
WILAYA YA TABATA
0684 001068/ 0715 768589
WILAYA YA GONGO LA MBOTO
0688001071/ 0715768584
WILAYA YA VIWANDA/TAZARA
0684001066/ 0715768587
WILAYA YA YOMBO
0783360411/0765654767
MKOA WA KINONDONI KUSINI/MAGOMENI
0784271461/ 0715271461
WILAYA YA KIMARA
0788379696/ 0717379696
MKOA WA KINONDONI KASIKAZINI/MIKOCHENI
0784 768584/ 0716 768584
WILAYA YA MBEZI BEACH
0658 768583/ 0713 768581
WILAYA YA TEGETA
0658 768584/ 0717 650 878
MKOA WA TEMEKE/KURASINI
0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720
WILAYA YA KIGAMBONI
0788499014/ 0736501661
WILAYA YA MBAGALA
0714 073 588
KITUO CHA MIITO YA SIMU/CALL CENTRE
0768 985 100/0222194400
MITANDAO YA KIJAMII
Facebook: Like
www.facebook.com/tanescoyetu
Twitter:Follow
www.twitter.com/tanescoyetu
Webiste
www.tanesco.co.tz
Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.
WILAYA YA TABATA
0684 001068/ 0715 768589
WILAYA YA GONGO LA MBOTO
0688001071/ 0715768584
WILAYA YA VIWANDA/TAZARA
0684001066/ 0715768587
WILAYA YA YOMBO
0783360411/0765654767
MKOA WA KINONDONI KUSINI/MAGOMENI
0784271461/ 0715271461
WILAYA YA KIMARA
0788379696/ 0717379696
MKOA WA KINONDONI KASIKAZINI/MIKOCHENI
0784 768584/ 0716 768584
WILAYA YA MBEZI BEACH
0658 768583/ 0713 768581
WILAYA YA TEGETA
0658 768584/ 0717 650 878
MKOA WA TEMEKE/KURASINI
0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720
WILAYA YA KIGAMBONI
0788499014/ 0736501661
WILAYA YA MBAGALA
0714 073 588
KITUO CHA MIITO YA SIMU/CALL CENTRE
0768 985 100/0222194400
MITANDAO YA KIJAMII
Facebook: Like
www.facebook.com/tanescoyetu
Twitter:Follow
www.twitter.com/tanescoyetu
Webiste
www.tanesco.co.tz
Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
March 1, 2018
Mhe. Mgalu awasihi Wananchi Mkoani Shinyanga kuupokea mradi wa Umeme Vijijini
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu, amefanya ziara ya kikazi katika Vijiji Vitakavyopitiwa na Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) na vile vilivyopendekezwa katika Mradi kabambe wa kuongeza wigo (REAII Densification) vilivyopo Mkoani Shinyanga.
Katika Ziara hiyo, Mhe. Mgalu aliwasihi Wananchi kuupokea mradi huo na kuongeza kuwa Serikali itahakikisha Vijiji vyote vilivyobakia wilayani humo vitapata umeme kufikia 2020.
Aidha, Naibu Waziri alitumia ziara hiyo kukitambulisha kifaa cha Umeme Tayari (UMETA) na kuwasihi Wananchi kujitokeza kwa wingi pindi mradi wa "Densification" utakapoanza na kuitaka TANESCO kuhakikisha inashirikiana kwa karibu na Viongozi wa Serikali katika ngazi zote ili kuhakikisha miradi kwenye Vijiji vyote unatekelezwa kwa weledi huku vipaumbele ikiwa ni Taasisi za Serikali na zile za Kidini.
Kwa upande wake Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi FedGrace Shuma alimhakikishia Naibu Waziri kuwa, atahakikisha miradi katika Vijiji vyote unakamilika kwa ufanisi kama ambavyo Serikali imeagiza, kwa kuzingatia huduma iliyoboreshwa.
Katika ziara hiyo Naibu Waziri aliambatana na Wakuu wa Wilaya za Kahama na Shinyanga, REA, TANESCO (Mkoa na Kanda) Viongozi wengine wa Serikali Mkoa na Wilaya pamoja na wadau kutoka Taasisi zingine Wilayani Kahama na Shinyanga.
Subscribe to:
Posts (Atom)