March 2, 2018

NAMBA ZA MADAWATI YA DHARURA -TANESCO DAR ES SALAAM




ILALA-CITY CENTRE

0222133330/ 0784 7685860715 768586

WILAYA YA TABATA

0684 001068/ 0715 768589

WILAYA YA GONGO LA MBOTO

0688001071/ 0715768584 

WILAYA YA VIWANDA/TAZARA

0684001066/ 0715768587

WILAYA YA YOMBO

0783360411/0765654767

MKOA WA KINONDONI KUSINI/MAGOMENI

0784271461/ 0715271461

WILAYA YA KIMARA

0788379696/ 0717379696

MKOA WA KINONDONI KASIKAZINI/MIKOCHENI

0784 768584/ 0716 768584

WILAYA YA MBEZI BEACH

0658 768583/ 0713 768581

WILAYA YA TEGETA

0658 768584/ 0717 650 878

MKOA WA TEMEKE/KURASINI

0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720

WILAYA YA KIGAMBONI

0788499014/ 0736501661

WILAYA YA MBAGALA

0714 073 588

KITUO CHA MIITO YA SIMU/CALL CENTRE

0768 985 100/0222194400
  
MITANDAO YA KIJAMII

Facebook: Like
www.facebook.com/tanescoyetu

Twitter:Follow
www.twitter.com/tanescoyetu

Webiste
www.tanesco.co.tz

Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz


"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"

32 comments:

  1. Habari zetu, najaribu kuwatafuta toka jana siwapati namba zenu zinatumika muda wote.

    Tatizo, umeme ulikatika kitunda shule maeneo ya maasai, line nyingine umeme umerudi ila line yangu umeme toka jana asubuhi haujarudi mpaka saizi.

    Tusaidieni ni maendeo ya kitunda kituo Masai(mnadani)

    ReplyDelete
  2. Tunahitaji huduma yenu hapa yombo kigunga tangia jana hatuna umeme line 1 na wengine wanao. Je shida nini?

    ReplyDelete
  3. Tunahitaj huduma zenu mita inatoa moshi tusaidieni tuko mbagala zakhem hapa maeneo ya KCB BANK...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawa tanesco ni wapumbavu haina maana ya wao kuweka no ,zao humu ni bora mzitoe maana no zao hazipatikani mara si sahihi du inasikitisha kwakweli

      Delete
  4. Tanesco hapa duga hombozi toka jana hatuna watu wa emergency services walifika jana lakini hawakuweza tatua hadi leo

    ReplyDelete
  5. Inachukua mda gani kuunganishiwa umeme baada ya Malipo,
    :location Chamanzi Dar es salaam Tz

    ReplyDelete
  6. Naishi segerea ambayo kitanesco ni wilaya ya tabata,utendaji wao hauridhishi kabisa mimi sina ume nyumbani kwangu tangu 11/11/20,tatizo lianzia mita kufaa kwa ngarambe imevadilishwa jana mchana wa saa 9 na bahati mbaya umeme ulikuwa umekatwa kote ulivyorudi saa 11jioni kwangu haukuwaka nikampigia fundi aliyefunga mita akasema itakuwa wakati navuta wire nitakuwaimecheza bracket nimeripoti jana mpaka sasa hii mchana hakuna respond yoyote rep. no.3638 na kwa vile wako wenyewe wala hawajali. 0754710064

    ReplyDelete
  7. Jamani ivi huu umeme ni wamgao maeneo ya Tanga maana ni wiki ya pili sasa hakuna taalifa hukata kila siku saa kumi na kulejea saa nne usiku nini maana yenu sasa mtu ambie kama ni mgao tujue

    ReplyDelete
  8. Hamna umuhimu wakuweka namba zetu kwenye mtandao mana azipatikani na mpokei kabisaa yani shilika la tanesco tz bado pasua kichwa

    ReplyDelete
  9. Hamna umuhimu wakuweka namba zetu kwenye mtandao mana azipatikani na mpokei kabisaa yani shilika la tanesco tz bado pasua kichwa

    ReplyDelete
  10. Habari nimetoa taarifa juu ya waya za kutoka kwenye nguzo zipo chini lakini hakuna MTU aliyekuja pamoja kuambiwa wanakuja

    ReplyDelete
  11. Nipo wilaya ya temeke mkipigiwa namba zenu hazipatikan zote

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shilika hili hamna kitu bol msingewwka namba zenu maana hazina maana hata kidogo

      Delete
  12. Nipo kimara baruti umeme toka Juzi hauwaki na ni nyumba mbili ninazo zifahamu hazina umeme mtaa mzima wa mia Saba sabini nguzo ya ngeleja

    ReplyDelete
  13. Rudisheni umeme tunatakiwa kumaliza uzalishaji kwa ajili ya kutuma mikoani

    ReplyDelete
  14. Hawa jamaa tanesco ni wapumbavu Sana watuunguzia vitu sana kwajili ya upumbavu wao.

    ReplyDelete
  15. Habari ! Tunashindwa Kuelewa number zenu mmetoa Za kazi gani maana simu hampokei watu tuna tatizo!

    ReplyDelete
  16. tengenezeni namba ya whatsup. mbez kwa poda atuna umeme

    ReplyDelete
  17. Tanesco uku mbagara chamanzi Islamic atuna umeme siku ya nne leo la nyumba Zaid ya Mia Azima umeme

    ReplyDelete
  18. Maeneo ya ukonga kitunda lilasia matatizo ya kukatika kwa umeme yamekuwa kero, tatizo nini?pia namba za dawati la dharula ni ngumu sana kupatikana tunawakumbusha mlitambue hilo, ikishindikana tutatoa taarifa ngazi za juu

    ReplyDelete
  19. tanesco kigamboni shida nini simu hazipatikani, umeme kigamboni kibugumo, line moja inawaka nyengne ya kwangu haiwaki, watoto wanalia joto kali jamani, tumaweka umeme mwingi kuhofia kuisha kunusurika na joto leo joto kali watoto hawalali.
    tuhurumieniiiii😭😭😭

    ReplyDelete
  20. Hellow habari za kazi me shida yangu ni kwamba nimenunua umeme ila sijapata token nimenunua kama lisaa limepita hivi

    ReplyDelete
  21. Jamani jamani Tanesco Temeke hawapokei simu na transformer la Maduka mawili linawaka moto wanasubiri tupate hasara ndio waje

    ReplyDelete
  22. Sm zinu zinakumika muda wote Hadi tunakata tamaa kila ukipiga mnatuambia mnahudumia wateja
    Bora msingeziweka hizi namba zenu hazina maana kama hampokei sm

    ReplyDelete
  23. sim hazipatikani tangu juzi siku ya tatu Leo hatuna umeme hapa nyumbani luku imeandika error--1 mnatusaidiaje jmn msigani tanesco hapa

    ReplyDelete
  24. njooni mtutolee umeme wenuu ni kero sasa kwa wana wa mbandee umeme unakata kata kila siku siku zingine hadi muamuee nyinyi kurudisha hadi saa tano usiku ndo mnarudishaa hakunaa maana ya umeme wenuu njooni mtoe tu

    ReplyDelete
  25. Tanesco tunahitaji msaada wenu huku boko basihaya…namba zeny zote hazipatikani.

    ReplyDelete
  26. Simu zenu azipatikan toka juzi atuna umeme toka trh 14 kimara suka maeneo ya matailin .jmn tuna watoto vitu vyote vimealibika kwenye friji .shida nn mbona ata taarifa amujatoa watu tujipange jmn

    ReplyDelete
  27. Inauma sana unapokuwa na shida, Halafu namba za dharula zote hazipatikani. Ni kwanini mnaziweka sasa? Usipoangalia hata haya malalamiko hawajawahi kuyaona waha hawawazi kama yapo.

    ReplyDelete
  28. Naitwa Moses nipo msalaba mwekundu gongo la Mboto nina changamoto kwenye nyumba yangu hapa kwangu umeme hakuna ila kwa majirani upo sasa sijui shida ni nini juzi hivyo hivyo ukarudi saa saba usiku naomba kujua kama hapa ni laini inayo jitegemea

    ReplyDelete