November 26, 2010

HUDUMA YA MAUZO YA LUKU YA MaxMalipo


Unaweza kununua umeme ukiwa mahali popote nchini Tanzania kwa kuwa mtandao huu umesambaa kila mahali. Ni rahisi pia kutumia kwani mteja anahitaji kujua namba yake ya mita tu ili kununua umeme. POS imesambazwa katika maduka ya kawaida hivyo basi huduma ya LUKU sasa inapatikana jirani na nyumbani au kazini kwako.

Hakuna gharama ya ziada unaponunua umeme kwa kutumia POS za MaxMalipo kwa hiyo unaweza mnunulia ndugu au rafiki aliye mbali nawe.

VITUO VYA MAX MALIPO

6 comments:

  1. Issue sio Maxmalipo wala huduma gani. Issue ni kwamba inabidi TANESCO mpewe fungu la kutosha kutoka serikalini muwekeze kwenye uzalishaji. Juzi nasikia katibu Mkuu wa Wizara ya nishati anadai eti Hakuna ruzuku kwa TANESCO. Basi hichi ndio kifo chenu.

    ReplyDelete
  2. There are a number of problems that TANESCO need to deal with. Among the core ones is corruption. It is probably one of the most corrupt parastals in the country. This is affeacting loss of revenue, it leads to inefficiency and comtept on the part of the workers - simply because it is government property and therefore many do not care.

    ReplyDelete
  3. the problem is, the company is full of engineers with diploma and degrees, yet not knowing and respecting the meaning of the word 'ENGINEER'

    ReplyDelete
  4. Naomba kufahamu mnafanya jitihada zipi kuhakikisha wanchi hawatozi gharama za ziada kwa huduma hizi mfano kule tabata kisiwani maeneo ya magengeni kuna nyumba inatoa huduma ya kuuza vocha za luku kwa gharama ya ziada ya tsh 500/= je hii ni sahii maana hauruusiwi kuingia ndani kujua anatumia mfumo upi ni max malipo au la! badala yake unaishia getini na kusubilia hapo uletewe baada ya kuwa umetoa miatano ya ziada.

    ReplyDelete
  5. vipi tatizo la network hasa kuanzia saa 11 jioni na kuendelea.tatizo hili sugu na la kila siku na siku zingine network inagoma siku nzima

    ReplyDelete
  6. Hello Habari - Nimenunua Umeme kupitia NMB Bank sIm bank na malipo yalipokelewa Luku max kwa 99103LUKUM na Kumbukumbu namba 514UTLP232700097 ya tarehe 29-9-2023 saa 7:23 . cha kushangaza mpaka le sijapata umeme - 0713 297175

    ReplyDelete