November 21, 2013

TEMEKE,KILIMANJARO NA KINONDONI



KINONDONI NORTH
TAREHE
MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
22/11/2013
06:00-14:00
KINONDONI ‘A’ AND ‘B’, KINONDONI MOSCOW, HANANASIFU, BANDARI QTRS, VALAHALA VILLAGE , BAOBAO VILLAGE, KAHAMA, BIMA QTRS ,KIJITONYAMA ALLY MAUA AND KISIWANI, SINZA, BOT FLATS K/NYAMA, QUINE OF SHEBA AND JOHANESBARG HOTEL,MASAKI MWISHO,  YATCH CLUB TO SLIPWAY AND THE SURROUNDING AREAS     
14:00-22:00
ITV, RADIO MARIA , TANPARK TISSUE, MWENGE KIJIJINI, SINZA MAPAMBANO TO MEEDA BAR, MWENGE TPDF FLATS,AND TRA, K/NYAMA PRIMARY SCHOOL, POLICE MABATINI, KKKT KNYAMA, COMMISSION OF SCIENCE AND TECHNOLOGY, MWENGE MLALAKUWA, KIJITONYAMA AND MWANANYAMALA, ADA ESTATE, KINONDONI SHAMBA,LAIBON STR, PART OF KAUNDA 
22:00-06:00
MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA
23/11/2013
06:00-14:00
TEGETA, KUNDUCHI, BOKO, UNUNIO, MBWENI,  BUNJU, BAHARI BEACH, KUNDUCHI MTONGANI,KILONGAWIMA, SALASALA,  PART OF WAZO, TEGETA MASAITI, KIJIJI CHA KONDO, LASKILOMONI, KAWE AND THE SURRUONDING
14:00-22:00
MBEZI JUU,MBEZI BEACH,  WHITE SANDS JANGWANI BEACH, PART OF MIKOCHENI ‘A’,MSASANI MAMWINYI, MIKOCHENI CHAMA, MSASANI AND NAMANGA, DRIVE IN TANESCO QTRS, O/BAY POLICE, REGENT ESTATE, PRESIDENT OFFICE MAKUMBUSHO, MWENGE MLALAKUWA,
22:00-06:00
MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA
24/11/2013
06:00-14:00
ITV, RADIO MARIA , TANPARK TISSUE, MWENGE KIJIJINI, SINZA MAPAMBANO TO MEEDA BAR, MWENGE TPDF FLATS,AND TRA, K/NYAMA PRIMARY SCHOOL, POLICE MABATINI, KKKT KNYAMA, COMMISSION OF SCIENCE AND TECHNOLOGY, MWENGE MLALAKUWA, KIJITONYAMA AND MWANANYAMALA, PART OF MIKOCHENI ‘A’ ADA ESTATE, KINONDONI SHAMBA,LAIBON STR, PART OF KAUNDA AND KENYATTA RD,
14:00-22:00
  KINONDONI ‘A’ AND ‘B’, KINONDONI MOSCOW, HANANASIFU, BANDARI QTRS, VALAHALA VILLAGE , BAOBAO VILLAGE, KAHAMA, BIMA QTRS ,KIJITONYAMA ALLY MAUA AND KISIWANI, SINZA, BOT FLATS K/NYAMA, QUINE OF SHEBA AND JOHANESBARG HOTEL,MASAKI MWISHO,  YATCH CLUB TO SLIPWAY AND THE SURROUNDING AREAS 
22:00-06:00
MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA
25/11/2013
06:00-14:00
TEGETA, KUNDUCHI, BOKO, UNUNIO, MBWENI,  BUNJU, BAHARI BEACH, KUNDUCHI MTONGANI,KILONGAWIMA, SALASALA,  PART OF WAZO, TEGETA MASAITI, KIJIJI CHA KONDO, LASKLOMONI, KAWE AND THE SURRUONDING
14:00-22:00
MBEZI JUU,MBEZI BEACH,  WHITE SANDS JANGWANI BEACH, PART OF MIKOCHENI ‘A’,MSASANI MAMWINYI, MIKOCHENI CHAMA, MSASANI AND NAMANGA, DRIVE IN TANESCO QTRS, O/BAY POLICE, MWENGE MLALAKUWA,
22:00-06:00
MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA
26/11/2013
06:00-14:00
ITV, RADIO MARIA , TANPARK TISSUE, MWENGE KIJIJINI, SINZA MAPAMBANO TO MEEDA BAR, MWENGE TPDF FLATS,AND TRA, K/NYAMA PRIMARY SCHOOL, POLICE MABATINI, KKKT KNYAMA, COMMISSION OF SCIENCE AND TECHNOLOGY, MWENGE MLALAKUWA, KIJITONYAMA AND MWANANYAMALA, ADA ESTATE, KINONDONI SHAMBA,LAIBON STR, PART OF KAUNDA AND KENYATTA RD,
14:00-22:00
 KINONDONI ‘A’ AND ‘B’, KINONDONI MOSCOW, HANANASIFU, BANDARI QTRS, VALAHALA VILLAGE , BAOBAO VILLAGE, KAHAMA, BIMA QTRS ,KIJITONYAMA ALLY MAUA AND KISIWANI, SINZA, BOT FLATS K/NYAMA, QUINE OF SHEBA AND JOHANESBARG HOTEL,MASAKI MWISHO, GOVERNMENT HOUSES AT MASAKI, YATCH CLUB TO SLIPWAY AND THE SURROUNDING AREAS 
22:00-06:00
MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA

KILIMANJARO
TAREHE
MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
22/11/2013
06:00-14:00
BOMA MBUZI,PASUA,KALOLENI,MABOGINI,KAHE,KIBOSHO,KCMC,USHIRIKA WA NEEMA,CHUO CHA USHIRIKA,KISIWANI,GONJA,NDUNGU
14:00-22:00
HIMO,MARANGU,ROMBO,TARAKEA,MACHAME YOTE,TPC
22:00-06:00
KIBORILONI,URU,SHUNTY TOWN,SOWETO,LYAMUNGO,MWANGA YOTE
23/11/2013
06:00-14:00
SIHA,MSARANGA,MNAZI MMOJA,OLD MOSHI,KIBORILONI YOTE,SHUNTY TOWN
14:00-22:00
VIWANDANI,MOSHI TOWN,URU YOTE,KCMC,CCP,CHUO CHA USHIRIKA,MACHAME YOTE,MAKANAYA,HEDARU
22:00-06:00
SHUNTY TOWN,BAADHI YA MOSHI TOWN,SOWETO,KARANGA
24/11/2013
06:00-14:00
KIBORILONI,MNAZIMMOJA,SOWETO,VIWANDANI
14:00-22:00
LEMBENI,KISANGARA,MWANGA TOWN,UGWENO,USANGI,KIFARU,KISIWANI,GONJA,NDUNGU
22:00-06:00
MOSHI TOWN,URU YOTE
25/11/2013
06:00-14:00
CCP.KCMC,USHIRIKA WA NEEMA,SAME MJINI
14:00-22:00
MACHAME YOTE,KIBOSHO,LYAMUNGO
22:00-06:00
SANGO,MSARANGA,OLD MOSHI,KIBORILONI,MNAZIMMOJA
26/11/2013
06:00-14:00
BOMA MBUZI,PASUA,KALOLENI,MABOGINI,KAHE,KIBOSHO,KCMC,USHIRIKA WA NEEMA,CHUO CHA USHIRIKA,KISIWANI,GONJA,NDUNGU
14:00-22:00
HIMO,MARANGU,ROMBO,TARAKEA,MACHAME YOTE,TPC
22:00-06:00
KIBORILONI,URU,SHUNTY TOWN,SOWETO,LYAMUNGO,MWANGA YOTE

TEMEKE
TAREHE
MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
22/11/2013
06:00-14:00
CHANG'OMBE AREA,DISTRICT COMMISSIONER ,PART OF KEKO AREA
14:00-22:00
MTONI MTONGANI, SABASABA, MTONI KICHANGANI, KILWA ROAD RESIDENCY
22:00-06:00
PORT AREA ,SHIMO LA UDONGO,TICTS,CHANG'OMBE INDUSTRIAL AREA&PART OF NYERERE ROAD INDUSTRY
23/11/2013
06:00-14:00
MTONI MTONGANI, SABASABA, MTONI KICHANGANI, KILWA ROAD RESIDENCY
14:00-22:00
CHANG'OMBE INDUSTRIAL AREA INCLUDING KIOO LTD, TCC, BORA INDUSRTY, PART OF NYERERE ROAD INDUSTRUES,PORT AREA,TICTIS,&SHIMO LA UDONGO.
22:00-06:00
CHANG'OMBE AREA,DISTRICT COMMISSIONER ,PART OF KEKO AREA
24/11/2013
06:00-14:00
WHOLE OF KIGAMBONI AREA
14:00-22:00
PART OF CHANG'OMBE AND NYERERE ROAD INDUSTRIAL AREAS,
22:00-06:00
MAWENI CEMENT FACTORY
25/11/2013
06:00-14:00
YOMBO BUZA,MWISHO WA LAMI
14:00-22:00
TEMEKE MIKOROSHINI, VERTENARY, PART OF MWAKALINGA RD ,NHIF,NOTCO &GATE NO 3
22:00-06:00
CHANG'OMBE ,MWAKALINGA AND MBOZI ROAD.
26/11/2013
06:00-14:00
MTONI KIJICHI,MGENI NANI&MBAGALA KUUTEMEKE MIKOROSHINI,TANDIKA GOROFANI,&VERTENARY.
14:00-22:00
THE WHOLE AREA OF MKURANGA
22:00-06:00
MBAGALA KIBURUGWA ,SABASABA MAKUKA.MBANDE,CHAMAZI ,AZAM COMPLEX&KIBONDE MAJI

RATIBA YA MGAO WA UMEME



               

TABORA
TAREHE
MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
22/11/2013
06:00-14:00
WILAYA YOTE YA NZEGA NA BUKENE
14:00-22:00
WILAYA  YOTE YA IGUNGA
22:00-06:00
MANOLEO, ITONJANDA, KIDUDO, MAGIRI, ILALWANSIMBA, ISIKIZYA, IDETE NA IGOKO.
23/11/2013
06:00-14:00
MWINYI, REHANI, KITETE ROAD, SIKONGE ROAD, NGAMBO, USULE, MWANZA ROAD NA CITY CENTRE
14:00-22:00
CHEYO A&B, ISEVYA, BOMBA MZINGA, IPULI, KAZIMA DAM, CHUO CHA RELI NA KARAKANA YA RELI.
22:00-06:00
MWINYI SIMBA MWEMA, LWANZARI I&II, KIPALAPALA, A.T.T, MTAKUJA, PANGALE, TUTUO  NA SIKONGE MJINI
24/11/2013
06:00-14:00
TUMBI, ILOLANGULU, MABAMA, USSOKE, NDONO, URAMBO MJINI, KALIUA. USISYA, ITUNDU.
14:00-22:00
MANOLEO, ITONJANDA, KIDUDO, MAGIRI, ILALWANSIMBA, ISIKIZYA, IDETE NA IGOKO.
22:00-06:00
WILAYA YOTE YA IGUNGA
25/11/2013
06:00-14:00
AIRPORT, JWTZ, KWAMREMA, BOMAN, NATIONAL, TBC, ORION, LKILOLENI, UHAZILI. ISENYA, TABORA TIMBA
14:00-22:00
WILAYA YOTE YA NZEGA NA BUKENE
22:00-06:00
TUMBI, ILOLANGULU, MABAMA,USSOKE, NDONO, URAMBO MJINI, KALIUA. USISYA, ITUNDU.
26/11/2013
06:00-14:00
CHEYO A&B, ISEVYA, BOMBA MZINGA, IPULI, KAZIMA DAM, CHUO CHA RELI NA KARAKANA YA RELI.
14:00-22:00
MANOLEO, ITONJANDA, KIDUDO, MAGIRI, ILALWANSIMBA, ISIKIZYA, IDETE NA IGOKO.
22:00-06:00
WILAYA YOTE YA IGUNGA

 

November 18, 2013

VIWANDA NA MIGODI

TAARIFA KWA UMMA

Wakati matengenezo ya kiufundi katika visima vya gesi vilivyopo katika kisiwa cha Songosongo, wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi yakiendelea na kusababisha upungufu wa umeme katika gridi ya taifa, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linawaomba wateja wake wenye viwanda na migodi kusitisha matumizi ya umeme nyakati za usiku na kuendelea kutumia umeme nyakati za mchana tu ili umeme uweze kutosheleza wateja wa majumbani katika kipindi cha usiku.

Zoezi hili ni la muda mfupi kuanzia sasa hadi Novemba 26, mwaka huu ambapo matengenezo ya kiufundi katika visima hivyo vya gesi yatakuwa yamekamilika na umeme kurejea katika hali ya kawaida.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO MAKAO MAKUU 

November 8, 2013

MKOA WA ILALA

KATIZO LA UMEME – MKOA WA ILALA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:    Jumapili  10/11/2013
                    
SAA:   3:00 Asubuhi - 12:00 Jioni
SABABU:  Kufanya Ukarabati,Kubadilisha Nguzo zilizooza na kukata Matawi ya miti kwenye Njia Kuu ya umeme ya Sokoine yenye msongo wa kilovolt 33 na Kubadilisha nguzo zilizooza na kukagua line yenye msongo wa umeme  
                   wa (11Kv na 33kv) barabara ya Nyerere
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Amani Place, FNB Bank, Mafuta House (Benjamin W. Mkapa Tower), Hosipitali ya Saratani ya Ocean Road, Hoteli ya Kilimanjaro (Hiyatt), Jengo la Kitega uchumi, Mahakama Kuu, Wizara ya Elimu, Jubilee Tower, Wizara ya Afya, Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya waziri Mkuu, Ofisi ya TANESCO Mkoa wa Ilala, Steers, CRDB tawi la  Holland, NMB House Samora, Ofisi ya Habari na maelezo Samora, CDC, WAMA, Mtaa wa Lithuli, Kivukoni Ferry, Hoteli ya New Africa, Mahakama ya Rufaa, Umoja House, Jengo la mikutano la Mwalimu Nyerere, Benki kuu ya Tanzania, Palm residence, Chuo cha Utalii, Police Marine, Mtaa wa Shaban Robert, Mtaa wa Mirambo, Mtaa wa Obama, Baadhi ya mtaa wa Samora, Makao Makuu ya Jeshi-Ngome, Makao Makuu ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa-PCCB, Hospitali ya Tumaini, Ukumbi wa Mikutano wa Diamond na Maeneo ya jirani, Shaaban Robert Sec. School  na maeneo mengine ya jirani.
Kiwanda cha Metro Steel, Kiwanda  cha East African cables, A one product, Baadhi ya maeneo ya Kiwalani Kijiwe Samli, kwa Guru, kwa walemavu na maeneo jirani, Kituo cha pumpu ya maji cha JNIA, TBC, baadhi ya maeneo ya Temeke Mikoroshini, Veterinary, Kilimo na Uvuvi, maeneo yote ya Tandika, Mtoni Kichangani, Mtoni machine ya maji, maeneo yote ya Yombo pamoja na Yombo buza, Vituka, Kwa-Limboa, Davis Corner, Kwa Lulenge na maeneo ya jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo: 022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586. au Call centre namba 2194400  au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.                                

KINONDONI KASKAZINI

KATIZO LA UMEME-MKOA WA KINONDONI KASKAZINI 
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:
SABABU: 
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA 
Jumanne                              12,Novemba,2013 
3:00 Asubuhi-11:00 Jioni                     
Matengenezo ya Laini kubwa ya Umeme na kukata Miti chini ya Laini.
Mikocheni 'A', Ofisi ya Raisi Makumbusho, Chuo cha Uandishi wa habari, Mlimani TV, Msasani Kisiwani, Shoppers plaza, Hospitali ya TMJ ,Mayfair plaza, Kota za Tanesco, Zantel, Namanga ,Regent Estate, Kairuki/Mikocheni hospitali, Mwananyamala 'A' na 'B', Mawenzi, Golden Tulip, Coco Beach, Shule ya Kimataifa ya Tanganyika, Maeneo ya barabara ya Ghuba, Sehemu ya barabara ya Msasani, Hoteli ya Oyster Bay, Ubalozi wa Falme za Kiarabu, Hoteli ya Sea Cliff, TPDF Masaki mwisho, Kota za Serikali Masaki ,Coral beach, Yatch club, Slip way, Trauma Hospital, Barabara ya Chole ,Kota za Bandari, NASACO ,Kahama Mining, Kijiji cha Valahala, Kota za UNDP ,Kijiji cha Baobao, Morogoro Store, Chuo cha Usimamizi wa Fedha ,Hosteli Chuo cha Tiba Muhimbili, Hoteli ya Sea Cliff ,na Maeneo ya Jirani.
Jumatano
13,Novemba,2013
3:00 Asubuhi-11:00 Jioni
Matengenezo ya Laini kubwa ya Umeme na Kukata miti chini ya laini.
Baadhi ya Maeneo Mikocheni 'B', Maeneo ya Mh. Mwinyi, Mwalimu Nyerere na Warioba, Baraka plaza, Hoteli ya Regency Park, Maji Machafu, Heineken, Double Tree hotel. Nyumba za Serikali Mikocheni, TPDC, Rose Garden, TTCL, Kijitonyama , Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Millennium Tower, CRJE, Heko Kijitonyama, Kijitonyama Ali Maua, Kijitonyama Kisiwani, Maeneo ya Mh. Anna Makinda ,Queen of Sheba, Kanisa la Katoliki, Kiwanda cha Magodoro Dodoma, Maeneo ya Kays Hygiene Products, Cocacola Kwanza, BIDCO, Quality Plastic, , Mikocheni 'B' Assemblies of God, Msasani beach, Kawe beach, Clouds entertainment, K-Net tower, Kiwanda cha Iron & Steel , Mikocheni 'A', Ofisi ya Raisi Makumbusho, Chuo cha Uandishi wa habari, Mlimani TV, Shoppers Plaza, Hospitali ya TMJ , Mayfair Plaza,Kota za Tanesco ,Zantel ,Maeneo ya Regent, Kairuki/Mikocheni Hospitali, Mwananyamala 'A' na 'B’, na Maeneo ya Jirani.
Alhamisi                             
14,Novemba,2013
3:00 Asubuhi-11:00 Jioni
                    
Matengenezo ya Laini kubwa ya Umeme na kukata Miti chini ya Laini.
Bahari Beach, Ununio, Ras Kilomoni, Hoteli ya Budget, Tegeta CCM, Chanika ,Njia panda ya Kiwanda cha Wazo, Tegeta masaiti, Tegeta Namanga ,Nyumba za Serikali Boko, Basihaya,Boko CCM, Boko Maliasili, Ndege beach, Mbweni Kijijini, Nyumba 151 za Serikali/Mh.Magufuli, Bakili Muluzi School, Mbweni Mpiji, Kota za Wazo, Dogodogo Centre, Uwanja wa Nyuki, Ofisi ya Raisi Flats, Kunduchi yote ,MECCO,JKT Machimbo, Tegeta Darajani, Salasala kwa Mboma, RTD Salasala, Shule ya Green Acres, Mbezi Africana, na Maeneo ya Jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584..
Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:   OFISI YA UHUSIANO,
                         TANESCO - MAKAO MAKUU.