November 8, 2013

KINONDONI KASKAZINI

KATIZO LA UMEME-MKOA WA KINONDONI KASKAZINI 
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:
SABABU: 
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA 
Jumanne                              12,Novemba,2013 
3:00 Asubuhi-11:00 Jioni                     
Matengenezo ya Laini kubwa ya Umeme na kukata Miti chini ya Laini.
Mikocheni 'A', Ofisi ya Raisi Makumbusho, Chuo cha Uandishi wa habari, Mlimani TV, Msasani Kisiwani, Shoppers plaza, Hospitali ya TMJ ,Mayfair plaza, Kota za Tanesco, Zantel, Namanga ,Regent Estate, Kairuki/Mikocheni hospitali, Mwananyamala 'A' na 'B', Mawenzi, Golden Tulip, Coco Beach, Shule ya Kimataifa ya Tanganyika, Maeneo ya barabara ya Ghuba, Sehemu ya barabara ya Msasani, Hoteli ya Oyster Bay, Ubalozi wa Falme za Kiarabu, Hoteli ya Sea Cliff, TPDF Masaki mwisho, Kota za Serikali Masaki ,Coral beach, Yatch club, Slip way, Trauma Hospital, Barabara ya Chole ,Kota za Bandari, NASACO ,Kahama Mining, Kijiji cha Valahala, Kota za UNDP ,Kijiji cha Baobao, Morogoro Store, Chuo cha Usimamizi wa Fedha ,Hosteli Chuo cha Tiba Muhimbili, Hoteli ya Sea Cliff ,na Maeneo ya Jirani.
Jumatano
13,Novemba,2013
3:00 Asubuhi-11:00 Jioni
Matengenezo ya Laini kubwa ya Umeme na Kukata miti chini ya laini.
Baadhi ya Maeneo Mikocheni 'B', Maeneo ya Mh. Mwinyi, Mwalimu Nyerere na Warioba, Baraka plaza, Hoteli ya Regency Park, Maji Machafu, Heineken, Double Tree hotel. Nyumba za Serikali Mikocheni, TPDC, Rose Garden, TTCL, Kijitonyama , Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Millennium Tower, CRJE, Heko Kijitonyama, Kijitonyama Ali Maua, Kijitonyama Kisiwani, Maeneo ya Mh. Anna Makinda ,Queen of Sheba, Kanisa la Katoliki, Kiwanda cha Magodoro Dodoma, Maeneo ya Kays Hygiene Products, Cocacola Kwanza, BIDCO, Quality Plastic, , Mikocheni 'B' Assemblies of God, Msasani beach, Kawe beach, Clouds entertainment, K-Net tower, Kiwanda cha Iron & Steel , Mikocheni 'A', Ofisi ya Raisi Makumbusho, Chuo cha Uandishi wa habari, Mlimani TV, Shoppers Plaza, Hospitali ya TMJ , Mayfair Plaza,Kota za Tanesco ,Zantel ,Maeneo ya Regent, Kairuki/Mikocheni Hospitali, Mwananyamala 'A' na 'B’, na Maeneo ya Jirani.
Alhamisi                             
14,Novemba,2013
3:00 Asubuhi-11:00 Jioni
                    
Matengenezo ya Laini kubwa ya Umeme na kukata Miti chini ya Laini.
Bahari Beach, Ununio, Ras Kilomoni, Hoteli ya Budget, Tegeta CCM, Chanika ,Njia panda ya Kiwanda cha Wazo, Tegeta masaiti, Tegeta Namanga ,Nyumba za Serikali Boko, Basihaya,Boko CCM, Boko Maliasili, Ndege beach, Mbweni Kijijini, Nyumba 151 za Serikali/Mh.Magufuli, Bakili Muluzi School, Mbweni Mpiji, Kota za Wazo, Dogodogo Centre, Uwanja wa Nyuki, Ofisi ya Raisi Flats, Kunduchi yote ,MECCO,JKT Machimbo, Tegeta Darajani, Salasala kwa Mboma, RTD Salasala, Shule ya Green Acres, Mbezi Africana, na Maeneo ya Jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584..
Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:   OFISI YA UHUSIANO,
                         TANESCO - MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment