KATIZO LA UMEME – MKOA WA ILALA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: Jumapili
10/11/2013
SAA: 3:00 Asubuhi - 12:00 Jioni
SABABU: Kufanya
Ukarabati,Kubadilisha Nguzo zilizooza na kukata Matawi ya miti kwenye
Njia Kuu ya umeme ya Sokoine yenye msongo wa kilovolt 33 na Kubadilisha
nguzo zilizooza na kukagua line yenye msongo wa umeme
wa (11Kv na 33kv) barabara ya Nyerere
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Amani
Place, FNB Bank, Mafuta House (Benjamin W. Mkapa Tower), Hosipitali ya
Saratani ya Ocean Road, Hoteli ya Kilimanjaro (Hiyatt),
Jengo la Kitega uchumi, Mahakama Kuu, Wizara ya Elimu, Jubilee Tower,
Wizara ya Afya, Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya waziri Mkuu, Ofisi
ya TANESCO Mkoa wa Ilala, Steers, CRDB tawi la Holland, NMB House
Samora, Ofisi ya Habari na maelezo Samora, CDC,
WAMA, Mtaa wa Lithuli, Kivukoni Ferry, Hoteli ya New Africa, Mahakama
ya Rufaa, Umoja House, Jengo la mikutano la Mwalimu Nyerere, Benki kuu
ya Tanzania, Palm residence, Chuo cha Utalii, Police Marine,
Mtaa wa Shaban Robert, Mtaa wa Mirambo, Mtaa wa Obama, Baadhi ya
mtaa wa Samora, Makao Makuu ya Jeshi-Ngome, Makao Makuu ya Taasisi ya
Kupambana na Kuzuia Rushwa-PCCB, Hospitali ya Tumaini, Ukumbi wa
Mikutano wa Diamond na Maeneo ya jirani, Shaaban Robert
Sec. School na maeneo mengine ya jirani.
Kiwanda
cha Metro Steel, Kiwanda cha East African cables, A one product,
Baadhi ya maeneo ya Kiwalani Kijiwe Samli, kwa Guru, kwa walemavu
na maeneo jirani, Kituo cha pumpu ya maji cha JNIA, TBC, baadhi ya
maeneo ya Temeke Mikoroshini, Veterinary, Kilimo na Uvuvi, maeneo yote
ya Tandika, Mtoni Kichangani, Mtoni machine ya maji, maeneo yote ya
Yombo pamoja na Yombo buza, Vituka, Kwa-Limboa, Davis
Corner, Kwa Lulenge na maeneo ya jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:
022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586. au Call centre namba 2194400 au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment