June 12, 2014

MKOA WA ILALA

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALA


Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

         TAREHE:      Jumamosi 14/06/2014
                    
MUDA:  Saa 03:00 Asubuhi - 12:00 Jioni

SABABU: Kufanya Matengenezo Kwenye kituo cha Kupozea Umeme cha Buguruni

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:

Kiwanda cha Jambo plastic, Ok plastic, Bautech, DT Dobie, Africaries, Diamond Motors, Nas tyres, Becco, Bito motors, A-one product, Sadolin, Five star printers, Azania Spring, Saafa Plastic, Murzal Oil, Kariko Complex, TFAO Motors, Chai bora, PMM. Vingunguti kiembe mbuzi, Maeneo yote ya Beko, Tabata Dampo, Buguruni mnyamani, Buguruni Alhamza, Maeneo yote ya Kiwalani minazi mrefu,Yombo matangini, Bombom, Kijiwe sami na maeneo ya jirani.


Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:
022 213 3330, 0784 768586, Ilala Regional office, 0688 00 10 71 Gongo la Mboto la Mboto District office, 0684 00 10 68 Tabata District office and 0684 001066 Industrial District office. Call centre numbers) 022-2194400 au 0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote uliojitokeza

Imetolewa na:     Ofisi ya Uhusiano,
                Tanesco Makao-Makao

No comments:

Post a Comment