August 27, 2013

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME – MKOA WA TEMEKE



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa  Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:     Alhamisi 29/08/2013
MUDA: Saa 3 Asubuhi – 12 jioni
         
SABABU:    Kuvuta laini ya msongo wa Kilovolt 11 na kufunga transfomer ya ukubwa wa
200KVA Yombo Makangarawe Mwembe Ulevi.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Yombo Makangarawe, Uda bovu, Yombo Dovya, Njia panda ya barabara ya Mwinyi na Malawi na maeneo ya jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo 2138352; 0712052720; 0758880155 au namba hii ya kituo cha huduma kwa Wateja 2194400 au 0786985100.        
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:   OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment