TAARIFA YA KATIZO LA UMEME
Shirika la Umeme Tanzania
TANESCO linapenda kuwataarifu wateja wake wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme lama ifuatavyo:-
TAREHE:
|
SABABU:
|
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
|
Jumanne
Agosti 20, 2013
03:00 – 11:00 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
|
Goba, Sehemu ya salasala, Wazo kwa Makamba, Wazo Mji Mpya, Wazo Secondary, Mivumoni, Madale, Madale Scourt
|
Jumatano
Agosti 21, 2013
03:00 – 11:00 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
|
Kinondoni 'A & B',part of Kinondoni block 41, Biafra, Kanazi, Togo, Mtaa wa Wibu , Chuo Kikuu Huria, Ufipa, Kinondoni
Moscow, Mtaa wa Livingstone, Hananasifu, Mkwajuni, Kinondoni studio, Manyanya, Chuo Kikuu cha Tumaini, Kambangwa Secondary
|
Alhamisi
Agosti 22, 2013
03:00 – 11:00 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
|
Karume and Tumbawe Street, Barabara ya Hill, Kajificheni close, St.Peters, Don Bosco, Kinondoni block 41,Ubalozi
wa Indonesia,Uwanja wa Farasi, Josho la mbwa, Sehemu ya Barabara ya Msasani, Ubalozi wa Nigeria na Century Hotel.
|
Ijumaa
Agosti 23, 2013
03:00 – 11:00 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
|
Mikocheni Business area, Ushindi primary school, BIMA Flats, Five Star, Mikocheni B, Assemblies of God, Barabara
ya Coca-cola, Msasani Beach, Kawe Maringo, Clouds entertainment na K-Net Tower
|
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo
022 2700367, 0784 768584, 0716 768584..
Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment