MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme
litakalotokana na matengenezo katika kituo cha Mbezi Substation Siku ya
Jumamosi tarehe 31/08/2013 kuanzia saa 03:00
Asubuhi hadi saa 09:00 Mchana.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:
Mbezi juu, Mbezi samaki, Baraza la Mitihani Mbezi, St.
Marys school Mbezi, Mbezi garden, Ndumbwi, Mbezi kwa Msomali, Mbezi Makonde, Mbezi
Machakani, Mbezi NSSF, Mbezi Masoko ya kariakoo flats, Mbezi Jogoo, Art
Garlery, ATN/Agape Television, Maaza juice factory, Polypet Industry, Interchik
and Chemi & Cotex Factories.
Mbezi bondeni, Luvent street, Almas
street, Mwl Nyerere school, Mbezi Maguruwe, simba rd, Chui rd, Aly Sykes rd, Beach
street, BOT Mbezi ,TTCL Mbezi beach, Zena Kawawa rd, Roman Catholic Mbezi
beach, Mbezi miti mirefu, uwanja wa walenga shabaha, Jangwani beach, Belinda, Giraffe,
Whitesands, and Green Manner hotels, part of Kilongawima, NMC quorters.
Lugalo Military base, Lugalo
Hospital, the whole area of Kawe, NBC Kawe,2000 Industries Ltd, Majembe Auction
Mart Mwenge, Mbezi Tangi bovu, Mbezi Lyagunga, Mbezi Zawadi, Shoko, Mwenge
Survey, Mwenge bus stand and surroundings.
Tafadhali usishike waya uliokatika, na toa taarifa
kupitia simu zifuatazo kwa dharula yeyote 022
2700367, 0784 768584, 0716 768584 Au Call centre namba 2194400.
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano,
TANESCO,MAKAO MAKUU
No comments:
Post a Comment