January 8, 2015

POWER INTERRUPTION NOTICE



Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) regrets to inform its esteemed customers in  
 Temeke region, that there will be power interruption as indicated below:-

 DATE: Saturday 10th January 2015

  TIME: 09:00hrs - 18:00:00hrs

 REASON: Replacement of rotten HT poles at Mtoni & Keko
                               
AREAS AFFECTED- Mtoni Bank Club, Mtoni Mtongani, Kindande, Ndengeleko, Temeke Mji Mpya, Mtoni Kichangani, Mbagala Missioni-Ktm. Duce, Mgulani JKT, Salvation Army & police ufundi quarters


Please do not touch any broken conductors,

In case of emergency please call Temeke Regional Emergency desk:
0222138352, 0732 997361, 0712 052720 or Call Centre numbers 022 2194400, 0768 985 100

Any Inconveniences are highly regretted


  
   Issued by:- PUBLIC RELATIONS OFFICE,
                        TANESCO – HEAD OFFICE.


January 5, 2015

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI



Shirika la umeme Tannania (TANESCO) linapenda kuwataarifu  wateja wake kuwa kesho Jumanne tarehe 06/01/2015 kituo cha kupooza umeme cha MASAKI kitazimwa ili kupisha matengenezo ikiwa pamoja na kukata miti iliyo chini ya laini.Katizo hili litakuwa kati ya saa 3:00 asubuhi na saa 11:00 jioni
Maeneo yatakayoathirika ni; Eneo lote la Masaki ikiwemo balozi za Falme za kiarabu na Afrika Kusini, makazi ya balozi wa Canada na Ujerumani,hoteli za Sea Cliff, Oysterbay, Alexander, Slip way, Golden tulip, Mzinga way,Mitaa ya Mwaya, Chole ,Mahando ,Katoke,Mahenge,Uganda,Mawenzi,Toure, Mlale,TPDF Masaki mwisho,Bandari quorters,NASACO flats,Kahama mining,Valahala village,UNDP quorters,Baobao village,IFM flats,Muhimbili (MUHAS) university hostel,Kipepeo apartments,
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.
Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza

Imetolewa na; Ofisi ya Uhusiano
TANESCO-Makao Makuu

December 27, 2014

TAARIFA KWA WATEJA WA ARUSHA

Nguzo ya HT laini ya 11KV M2 eneo la Sekei Arusha imeanguka. Mafundi wamefungua jumper.

Maeneo yanayoathirika ni Oligli, Bangata Star TV, Visima vya maji na Midawe.

Mafundi wameanza kazi ya kubadilisha nguzo

December 9, 2014

TAARIFA KWA WATEJA WA MAENEO YA UPANGA NA AZIKIWE

 Shirika la Umeme Tanesco linawatarifu wateja wake wa maeneo ya Upanga na mtaa wa Azikiwe kuwa kumetokea shoti kubwa muda wa saa 11.30jioni baada ya Mkandarasi wa mradi wa Hifab kukata waya mkubwa wa msongo wa kilovolti 11 na hivyo kusababisha Kituo cha Kupooza na Kusambaza Umeme cha Mjini Kati (City Centre) kuzima ghafla. Mafundi wa Karakana ya Umeme kutoka Makao Makuu wanashugulikia tatizo na tunatarajia umeme utarudi kesho mchana baada ya kuunga waya huo na kubadili vifaa vilivyoungua kwenye Kituo cha City Centre. Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza. Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano Tanesco Makao Makuu.

December 8, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA ILALA



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Wilaya ya Tabata  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:       Alhamisi 11, Disemba, 2014 na Jumatano 17 Disemba 2014  
 
MUDA:           Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00 jioni   
                                                 
SABABU:      Kubadilisha nguzo zilizooza na kukata miti iliyopita kwenye laini

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:

11th December 2014
Segerea, Kinyerezi, Bonyokwa, Kifuru, Bangulo na maeneo ya jirani.

17th December, 2014
Tabata kimanga, Kisukuru, Makoka,na maeneo ya jirani.

Tafadhali usiguse waya wowote uliokatika toa taarifa TANESCO kupitia namba Kitengo cha dharura ilala: 022 213 3330, 0784 768586 au namba za huduma kwa wateja 2194400 au 0768 985 100 na Kitengo cha dharura Tabata 0684 001068, 0715768589

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.


December 7, 2014

TANGAZO KWA WATEJA WA MKOA WA ILALA

Shirika la Umeme Tanesco linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa jana, saa 4 usiku kumetokea hitilafu ya dharura kwenye kituo chake cha kupooza umeme cha Ilala hivyo kusababisha ukosefu wa umeme kwa baadhi ya maeneo ya Kurasini, kigamboni, Mbagala, Changombe, Nyerere rd, Mafundi wa karakana ya umeme wanashugulikia tatizo na tunatarajia umeme utarudi saa 10:00 jioni leo.

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

IMETOLEWA:
                        OFISI YA UHUSIANO
                          TANESCO MAKAO MAKUU