December 8, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA ILALAShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Wilaya ya Tabata  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:       Alhamisi 11, Disemba, 2014 na Jumatano 17 Disemba 2014  
 
MUDA:           Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00 jioni   
                                                 
SABABU:      Kubadilisha nguzo zilizooza na kukata miti iliyopita kwenye laini

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:

11th December 2014
Segerea, Kinyerezi, Bonyokwa, Kifuru, Bangulo na maeneo ya jirani.

17th December, 2014
Tabata kimanga, Kisukuru, Makoka,na maeneo ya jirani.

Tafadhali usiguse waya wowote uliokatika toa taarifa TANESCO kupitia namba Kitengo cha dharura ilala: 022 213 3330, 0784 768586 au namba za huduma kwa wateja 2194400 au 0768 985 100 na Kitengo cha dharura Tabata 0684 001068, 0715768589

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.


No comments:

Post a Comment