May 29, 2015

KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

1.              TAREHE                Jumamosi 30.05.2015

MUDA:                   Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni

SABABU:             Kukata miti na kubadilisha nguzo zilizooza za katika laini.


MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Mlimani City, TCRA-Mawasiliano Tower, Shule ya Sheria, Ubungo Plaza, Magomeni Mapipa, Manispaa ya Kinondoni, TTCL Magomeni, Hospitali ya Manispaa Magomeni, Dar Brew, Banki ya NBC Ubungo, TBS, Stendi ya Mabasi Ubungo, Hoteli ya Rombo Green View, TBl Ubungo, Pan Africa, Magomeni Mwembe Chai, Magomeni Mapipa, Magomeni Mikumi, Kigogo yote, Manzese Bakharesa, Argentina na Manzese Midizini.


2.                     TAREHE:    Jumatatu, 01.06.2015 na Jumanne, 02.06.2015

MUDA:        Saa 03:00 Asubuhi hadi11:00 jioni.

SABABU:    Kubadilisha nguzo zilizooza na matengenezo katika laini kubwa ya  Umeme. 

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Ubungo Kibangu, Hosteli ya Mabibo, Makuburi, Mabibo Mwananchi, Mwananchi Communication LTD, Ami, Costal Miller, Maxon LTD, Colour Print LTD.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo Kinondoni Kusini dawati la dharura:  0222172393 –  0784271461, 0715271461, Au kituo cha miito ya dharura 2194400 or 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                                            TANESCO – MAKAO MAKUU.No comments:

Post a Comment