May 22, 2015

KWA WATEJA WETU WA MAENEO YA LUGALO

Kwa wateja wetu wa maeneo ya Lugalo kazi ya kubadilisha nguzo hii ipo kwenye mkakati wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini (Mikocheni) itafanyika Mei 23, 2015. Imechelewa kutokana na ugumu wa eneo lenyewe kuwa tifutifu hivyo TANESCO inampango wa kuondoa nguzo hiyo na kuongeza zingine mbili, moja na moja nyuma ili kuzuia tatizo hilo lisitokee tena.

No comments:

Post a Comment