Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) linawataarifu
wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa
kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: Jumamosi, 01/08/2015
SAA: 3:00 Asubuhi- 12:00 Jioni
SABABU: kuboresha hali ya upatikanaji ya umeme
wa uhakika kwenye
kituo cha umeme sokoine
kwa kupunguza mzigo kwenda kituo
cha city center
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Barabara ya Ally Hassan Mwinyi, Upanga Mtaa wa Union, Kilombero,
Longido, Mtitu, Kimara, Seaview, Ruhinda, Protea Hoteli, Las Vegas, Aghakhan, Raha Tower, Holiday inn
hoteli, YMCA, bank ya posta, Maktaba ya taifa, Makunganya, Tanzania library, Azikiwe, Hospitali ya AAR,
Cortcar, Bilcanas, NMB Azikiwe, Breakpoint, mtaa wa Jamhuri, Haidar plaza,
mtendeni, Nizar flats na mtaa wa Mrima,
Elia complex, DIT, CBE, NSSF, Umoja wa Vijana, Olympia, Upanga magore,
Maweni, kitonga, Mfaume, Mazengo, kibasila, Diamond jubilee, Richmond tower,
Swiss tower, mtaa wa Mindu, mtaa wa Ohio,
Wizara ya Mambo ya
ndani, serena hoteli, PPF tower, Barclays bank, southern sun hotel, British
council, ATC, vijibweni, AMREF, VIVA
tower na maeneo yanayozunguka.
TAREHE: Jumapili, 02/08/2015
SAA: 3:00 Asubuhi- 11:00 Jioni
SABABU: Kukagua
Mita za Wateja Walioko Kwenye Njia ya Umeme ya Msongo Mkubwa ya Sokoine na
Kufanya Matengenezo.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Wizara ya Afya,
Wizara ya Ardhi, Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati na Madini. Wizara ya Elimu,
Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Mahakama ya Rufaa, Makao Makuu
ya Magereza, Kilimanjaro hotel, New Africa hotel, Mtaa wa sokoine, life house,
Azania Front, Mtaa wa azania, Regency Hospital, Uhuru eight, Mtaa wa Ohio,
amani place, Golden jubilee, IT plaza, Benki ya Tanzania, Ikuru, IFM, Wama.
Barabara ya Ocean Road Hospital, Mtaa wa Shaban Robert, garden avenue, Holland
house, parts of Samora avenue. Idara ya Takwimu, NMB House, RITA Tower,
Baclays, Mafuta House, Umoja wa Vijana, CCM Tower, Parm Residency, maeneo yote
ya magogoni na maeneo yanayozunguka.
Tafadhali usishike waya
uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:Ilala Emergency Desk- 022 213 3330, 0784 768586, 0715 76 85 86 au Call centre namba 2194400 au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa
usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: OFISI
YA UHUSIANO,
TANESCO –
MAKAO MAKUU.