July 27, 2015

MKOA WA KINONDONI KASKAZINI


                                              SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
KATIZO LA  UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo.

TAREHE:      29 Julai, 2015 (Jumatano)

SAA:               3:00  Asubuhi hadi 7:00 Mchana

SABABU:      Kubadilisha nguzo zilizooza

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:
Mbezi Tangi bovu, Mbezi Lyagunga, Mbezi Zawadi, Shoko, Mwenge Survey, Kituo cha mabasi Mwenge na maeneo yanayozunguka.  Lugalo Military base, Lugalo Hospitali, Maeneo yote Kawe, NBC Kawe, 2000 Industries Ltd, Majembe Auction Mart Mwenge.Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo: - Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kaskazini: 022 2701602, 0784 768584, 0716 768584 au namba za kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:-         OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUUNo comments:

Post a Comment