July 30, 2015

MKOA WA TEMEKETAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      Jumamosi 01/08/2015 na Jumapili ya 02/08/2015

MUDA:           03:00 Asubuhi – 10:00 jioni

SABABU:      Matengenezo kwenye kituo cha kupoozea umeme cha TANDIKA na kubadili nguzo chakavu.


MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:

JUMAMOSI TAREHE  01/08/2015
Yombo yote hususani maeneo ya Makangalawe, Dovya, Vituka, Buza, Sigara, Kipera, Kilakala, Kisiwani, Tandika sokoni, Temeke Mwisho, Wailes, Temeke Hospital, Magurewe, Sandali, Kwa Azizi Ally, Uwanja wa Sabasaba, Twalipo, Wizara ya Kilimo, Dar-Group Hospital, Charambe, Maji Matitu, Chamanzi, Mbande, maeneo ya Kisewe na maeneo yanayozunguka.

JUMAPILI  TAREHE 02/08/2015
Maeneo ya Mtoni Mtongani, Kwa Azizi Aly, Mbagala Mission, KTM, Mtongani, Mtongani Madafu, maeneo yote ya Kigamboni na maeneo yanayozunguka.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:- 0222138352, 0788 499014, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 / 0768 985 100

Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza

Imetolewa na:-         OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU. 
                                   No comments:

Post a Comment