February 2, 2016

MKOA WA TEMEKEKATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE       Alhamisi  Tarehe 4 Februari - Jumamosi Tarehe Februari 2016

MUDA:           02:00 Asubuhi – 10:00 Jioni

SABABU:      Kumalizia Ujenzi wa Line ya Msongo Mkubwa wa 33kv ili kupunguza mzigo kwenye Line ya Msongo wa 11kv na kuepuka kukatika kwa umeme umeme mara kwa mara

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:

Maeneo yote ya Charambe, Mianzini, Majimatitu, Nzasa, Chamazi, Mbande, Kisewe na maeneo ya jirani


Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo:-Temeke dawati la dharura 0712052720, 0758880155, 0732997361, Mbagala Dawati la dharura 0765 170 322, 0714 073588 au kituo cha miito ya simu 2194400/0768 985100.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.
                                           
                                                      

 

No comments:

Post a Comment